Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ruge mmoja ya watu wenye akili kubwa kuwahi kutokea Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itapungua sababu kuna hela ya real estate agent na kodi ya serikali... but still bado ni nyingi ikitumika vizuri.sio mbaya!bil 2 kwa watoto sita kila mtoto kaondoka na mil 333.333
Iko wazi idadi ya wajane ni kubwa kuliko wagane...Hivi kwa nini mnawazaga .wanaume kutangulia kufa kabla ya mwamke[emoji24]
Wangeendeleza nini sasa....Badala ya kuendeleza baba yao alipoishia wao wanauza wanaanza na moja, ndo maana umaskini africa hautaisha[emoji1][emoji1]
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.
MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.
Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.
Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.
Joke: wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni 😄 🤣 😂 😆 THE LORD IS YOUR SHEPHERD
Jamani,hebu mwambie nimemmiss bwana...Ruge mmoja ya watu wenye akili kubwa kuwahi kutokea Tz
Kwenda huko na wewe,Unakaa kusubili mume afe akuachie mali tafuta zako kama wanawake wengine, usigeuze watoto mtaji,
😆 😂 😆 😂Shabani sijui atanunuliwa gari Gani safari hii...
Halafu si Mr Urisi shabani ndio alisema🤣🤣🤣 watoto hawatunzwiii ila shebyyy nyieeee.....na yule mke wa Tommy Jones nae kapata sio?😆 😂 😆 😂
Ila kwa wale baby mama wengine hiyo hela ni nyingi
Kwa zama hata sio nyingi, watoti mfululu, huku madeni, bado mume....
Nyieeeeeee
Ila angalau ile kashfa ya watoto hawasomeshwi blah blah imeisha
Nandy nae kaachiwa nini sistangu?According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.
MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.
Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.
Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.
Joke: wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni 😄 🤣 😂 😆 THE LORD IS YOUR SHEPHERD
Yule itakuwa kapishana na gari la mshahara angebaki kama mjane wa marehemu angepataNandy nae kaachiwa nini sistangu?
Namfikishia kama ilivyo, hope upo powa kabisa. Mm pia nimekumiss mno😍Jamani,hebu mwambie nimemmiss bwana...
Niko poa sana...thanxNamfikishia kama ilivyo, hope upo powa kabisa. Mm pia nimekumiss mno😍
Ila hamna akili wala nn zaidi ngoja balaa lianze , watoto 6 kila mmoja na mama ake hamna bond hapo ,ngoja balaa utaona ..
Pesa zote alikuwa anachangiwa acheni utani.... Familia ilizidiwa gharama mtu kafa anajiona.
Kila mtoto akiwekewa Government bonds kwenye hio hela in compunding interest mpaka wanafika 20 years kila mmoja ana hela ya kutosha. Kuna watu wana bahati kweli kweli.sio mbaya!bil 2 kwa watoto sita kila mtoto kaondoka na mil 333.333
Hajachiwa kitu... hana mtoto nae na hakua mke so bila bilaNandy nae kaachiwa nini sistangu?
Exactlyyyy what I thought, ila sasa ndo mpaka mama awe ja hiyo akili....Kila mtoto akiwekewa Government bonds kwenye hio hela in compunding interest mpaka wanafika 20 years kila mmoja ana hela ya kutosha. Kuna watu wana bahati kweli kweli.
Wanasoma Feza vizuri tu na kuishi kibosi. Mzee wa Ulisi kweli kalamba dume. Inaonesha Zamaradi aliachwa vizuri sana na jasiri muongoza njia.Exactlyyyy what I thought, ila sasa ndo mpaka mama awe ja hiyo akili....
Mimi naamini 10% annualy ya hiyo inatosha kumlea mtoto every year in addition kwa malezi ulokua unampa kabla ya mgao.