Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Wangeendeleza nini sasa....
Watoto 6 kila mtu na mama yake
Wote minors mmoja tu ndo mkubwa
Na ile nyumba ilikua ni residential stand alone sio hata commercial.

Vitu vingine huwa ni rahisi kufanyika kama wanufaika wanatoka familia moja, ni rahisi kuongea lugha moja

Na ukiongalia kwa jicho la tatu, huo mgao anaopata kila mtoto unaweza kufanyiwa a much better investment.
Mzazi anaweza amua kuplay safe nusu akamfixia UTT aje achukue akifika 18 nusu ingine inatosha kumsomesha hata kwa kuweka government bonds or ukwasi huko huko UTT

Mwanaume ukitaka mali yako iende generations fanya maandalizi ya warithi, fungua biashara na usizae kila sehemu sababu kila mtu kutaka afe na chake haipukiki
Ila watu Wana pesa jamani
2b kunnua nyumba tu duhhh!!
 
Ruge hakuwai kuoa ndio sababu umeona hivyo hakuna mgogoro. Maana watoto wote na ndugu za ruge wana haki sawa

Mirathi za matajiri zinakuaga zina shida kukiwa na mke.

Hata Ruge angekuwa ameoa ana Mke. Mirathi yake isingekuwa nyepesi.

Mke halali huwa ana nguvu sana kwenye sheria ya ndoa.. ndugu wanakuwa hawana mamlaka yoyote ndio ugomvi unatokea
Ahsante Kwa hilo
 
Exactlyyyy what I thought, ila sasa ndo mpaka mama awe ja hiyo akili....
Mimi naamini 10% annualy ya hiyo inatosha kumlea mtoto every year in addition kwa malezi ulokua unampa kabla ya mgao.
Yule carby kama namuona vile akipokea bingo yake 😁 imekuaje kwanza mpka mzigo umeuzwa huo
 
Alooooh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Tuendelee kuangalia watu wa kuwazalia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahaa.....bahati tu Kuna wamezaa na matajiri wameambulia majanga tu...
Sema familia ya ruge wastaarabu sana
 
Back
Top Bottom