reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Niliwaza hvyo hvyoSio mbongo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwaza hvyo hvyoSio mbongo.....
Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Na familia za mengi ni kajamba nani? mbona walipelekana mpaka mahakamani?Wazazi wake na Ruge sio maskini.
Ruge kazaliwa marekani miaka ya 70s.
Imagine miaka ya 1970 baba na mama tayari wanaishi marekani.
Ruge baba yake professor udsm na mama yake Ruge pia ni PHD holder anafundisha udsm.
Familia ya Ruge sio familia ya kina kajamba nani. Ya kugombania urithi
KabisaMirathi kugombewa hupelekea watu kutoana roho
kwa msuya shida ni nduguMimi ruge kanifurahisha kugoma kwake kuoa baada ya kugundua kazaa watoto wengi na wamama tofauti tofauti.
Hii imepunguza sana migogoro kwenye mirathi yake.
Angekuwa amemuoa mwanamke mmojawapo..mirathi ingekuwa na usumbufu mwingi sana. Wanawake wana tamaa sana hasa wakiwa na cheti cha ndoa.
Bilionea msuya ni mfano hai ya wake wa ndoa walivyo na tamaa
Inavosemakana watoto wake 2 kila mmoja kapata si chini ya mil 300 na kituKwahiyo zamaradi nae kapata ulisi?
AiseeKapata 680m Kwa watoto wa wawili na yule alozaa na mke Wa Romy Jones kapata 300m na yule alozaa na mwingine nae 300m
Fanya kunitumia prescription ya dawa ya maumivu mkuu.Mtoa post una maumivu kwanza kwani kuzaaunafungwa kamba..
Ujinga.
Punguza mihemko.... aliyezaa kama panya ni ruge na katunza watoto wote toka akiwa hai na mpaka amekufa kawatunza pia.sasa hapo aliyezaa zaa kama panya ni nani, hao wanawake au Ruge ?
Kwa mtu unaejielewa, Ruge sio mfano mzuri wa kutumia kukanya watu "wanao zaa zaa kama panya"
hao watoto sita na mama sita sio kuzaa zaa kama panya ?
baba masikini mwenye watoto sita na mama mmoja
Mbongo kununua kitu ya hela hiyo ni kukaribisha nzi wa serikaliniNiliwaza hvyo hvyo
Punguza mihemko.... aliyezaa kama panya ni ruge na katunza watoto wote toka akiwa hai na mpaka amekufa kawatunza pia.
Na familia za mengi ni kajamba nani? mbona walipelekana mpaka mahakamani?
Embu tuuone huo mjengoMbongo kununua kitu ya hela hiyo ni kukaribisha nzi wa serikalini
Halafu plot yenyewe ilipo nahisi muhusika kanunua for prestige aifanye residential
Sababu sqm 1000 kwa $800,000 ni nyingi na ukisema uibadilishe iwe commercial itatukucost even more, hiyo return sijui utaipata baada ya muda gani.... it goes beyond 20 yrs.
Labda kama umenunua ili baadae ukifanyiwa evaluation upate mkopo mkubwa zaidi ufanye mishe zingine otherwise ni luxury purchase
Kwa hiyo kumbe lilikuwa ni goma la kupunguzia uzito tuHajachiwa kitu... hana mtoto nae na hakua mke so bila bila
Kichwa yako ndo imejaa funza..... soma polepole ujione ulivyo na ufinyu wa kutafsiri mambo.Kwa hiyo unakiri Ruge alizaa kama panya.
Basi hakufaa kupigiwa mfano wa uzazi na malezi bora, alizaa watoto sita na wanawake sita, huo ni umalaya, he was a filthy hoe.
Hoja yako ya kushambulia wanawake aliozaa nao ni utumbo mtupu.
Hayo ni maoni yakoKwa hiyo kumbe lilikuwa ni goma la kupunguzia uzito tu
We wasema, watoto wa mercy hawakurithishwa chochote na baba yao? una uhakika? et wamesucrifice kujenga empire? motie angekuwa hai ningekubaliana na wewe, huyo wa kike anajua nn zaid ya kusagana, huyo wa kiume naye si boya tu kama boya wengine, amechangia nn kwenye mali za mzee? kama baba yake alimpa option abuni biashara au afungue kampuni amsupport yeye et anafungua studio halafu et anawarekodia wasanii bure, huyo mtu au kiazi, motie ndo alikuwa anajua anachokifanya hao wengine famba tu.Mgawanyo wa mali ulikuwa kati ya mengi na mkewe mercy,
Kwa hiyo kama mama mery aliamua kuwarithisha watoto wake mgao wake wote haimaanishi watoto wake hawastahili kupata mgao wa baba yao.
Hapo sio hisia ni uhalisia, na mwenye tamaa ni yule aliyetaka watoto wake wapate 100% ya mali za baba yao kwa sababu watoto wa mumewe walipata mgao wa mama yao as if hawastahili kupata chochote kutoka kwa baba yao..
Yaani
Kama ni ambayo nimewahi ona kwenye moja ya videos way back... basi ni zile nyumba old school nothing fancy nje hamna landscape ya kustua.Embu tuuone huo mjengo