Familia ya watu 10 kutumia milioni 3 kwa mwaka kwa manunuzi ya vyakula

Familia ya watu 10 kutumia milioni 3 kwa mwaka kwa manunuzi ya vyakula

Nimeongelea budget yao ya chakula na matumizi ya eneo la ekari tano sijaongelea vipato vyao vingine.

Sijasema hata watoto wanne wanasoma shule gani inawezakeana wakawa wanasoma Feza na baba ni Mkurugenzi wa Shirika.
Ndo useme Sasa usilete vitu nusunusu..😂
 
Farm homesteading...kibongo bongo bado haijaeleweka kivilee ..binafsi nimejionea wazee kwa vijana kadhaa waliokacha urban life wakaenda nje kabisa ya miji . Nami nilishaanza kidogo kidogo kujitengenezea sehemu ila nikajikuta nimesogelewa na mji, Sasa nimepata sehemu ipo km 30 toka mjini ambapo ni 1.7km toka Barabara kuu njia inapitika muda wote ingawa kuna korongo moja tu korofi nishalitafutia mistimu ya tanesco iliyobadilishwa..nikiweka tu daraja baaas mjini nitakuja kusalimia mara moja moja. I plan to retire at 50 by God's mercy.
 
amepiga hesabu vibaya, awe makini wazee wa uchumi hatujalala. Arudie kupiga hesabu vizuri
 
Kuna mama alituekeza maisha ya familia yake. Yeye na mume wake wamebarikiwa kupata watoto wanne. Walichukua jukumu la kulea watoto wawili wa ndugu waliofiwa na wazazi wao. Msichana wa kazi na kijana wa shamba.

Waliamua kuondoka mjini miaka mitano iliyopita baada ya kununua eneo la ekari tano kando ya mji na kujenga makazi yako. Wamefanikiwa kuzungusha uzio katika eneo lao lote. Ndani wanafuga kuku wa kienyeji 200 na bata 70. Wanalima mboga kama nyanya, vitunguu, mchicha, bilinganya, hoho nk.

Watoto wanasoma mjini, hivyo asubuhi kuna gari ya kupeleka watoto wanne wadogo shule kwani wakubwa wanasoma vyuoni na hurudi nyumbai wakati wa likizo. Usafiri wao ni pick up double cabin. Asubuhi inabeba pia na mboga za kupeleka sokoni baada ya watoto kushushwa shuleni.

Yule mama anasema tangu amehamia ‘kijijini’ kama anayoita mwenyewe, budget yake ya chakula imeshuka sana. Kila siku wanachinja kuku mmoja kutoka bandani wakiongeza na mboga kutoka katika bustani yao.

Vyakula anavyonunua ni sukari, mafuta ya kula, unga wa ngano, mchele na unga wa mahindi. Hata wakiamua kubadilisha mboga badala ya kuku hununua nyama ya ng’ombe au samaki kutokana na mauzo ya mboga kila siku.

Kulisha familia ya watu 10 kwa milioni 3 kwa mwaka na kila mtoto anapata mayai asubuhi, mchana kuna uhakika wa nyama na jioni chakula kizuri ni mafanikio.

Ninapenda kuishi mjini, zile harakati za umesikia uvivu wa kupika kuna chips mayai hapo mbele, kuna shishi kebab au kuna biryani mtaa wa pili, kuyakosa haya inahitaji moyo.
...Hebu kaniletee Chipsi Kavu hapo kwenye kona?...
 
Nyama ya kuku inakinai mapema.
 
Labda kama wana chanzo kingine cha mapato

kuku 200 wa kienyeji-wanalishwa nini? mimi ninao 30 tu wananitoaga jasho ongeza bata 30 weeeeeee

hala kila siku wanakula kuku mmoja

siseme wewe ni muongo ,nahisi kuna some hiden information especial kwenye sources of income

all in al maisha ya kijijini ni mazuri kama ardhi yake ipo vizuri kwa mazao
Stori za Sky wewe huzijui?

Kana stori tamu sana na nzuri ila always akili za kuambiwa changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
N
Kijijini ukiweza kuchimba kisima uwe na uhakika wa maji umemaliza. Unaweaka vyoo vya ndani na maisha yanaendelea. Sola ni pesa yako zipo zinazoweza hata kuendesha freezer na vyakula visiharibike.

Ukishazoea maisha haya hutaki kurudi mjini. Nilimltemebelea rafiki hangu nje ya Kampala yeye amejenga bomba la maji ya bafuni linapita jikoni. Jiko ni la kujengea la mkaa. Akiwasha jiko asubuhi watu wote mnapata maji ya moto ya kuoga.

Wanahimiza watu waoge kipindi hicho hasa wakati wa baridi.
Kilankitu nimekamilisha ila.mke kagoma.hataki tuhamie shamba
 
Stori za Sky wewe huzijui?

Kana stori tamu sana na nzuri ila always akili za kuambiwa changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Poa tu kikubwa tuosha kwa furaha Mm yangu ya kweli ukitaka katibu sana mkata Handeni uje ujionee mitiki ekari45+ dairy farm mbuzi makazi nk
 
Kuishi porini principal ya kwanza ni kunua vitu jumla, vya wiki na vya mwezi. Huwezi kuchoma mafuta kisa huna kibiriti.
Hii ishanitokea mwaka 2018 tulipo hama mjini na familia. Kuna siku kibiriti kililowa na mvua, ikabidi ustaarabu wa kuwasha gari kwenda kufuata kibiriti nilichoka aisee.. afu kingine mtu akiwa anarud jion anapiga simu mapema kama kuna mtu anataka mahitaj. Ingekua zamani vocha za kukwangua mbona tungenyooka
 
Ukiamua haya maisha vibiriti unanunua kama 20 na vikibaki vitatu unakumbuka kuongeza. Kama ni mnywaji beer unanunua sanduku mbili na wine zako. Ukitoka kwenye kazi za shama jioni unajipongeza.
 
Ni kweli kabisa,kuna shamba huko masaki.tunaenda nalo Mdogo mdogo. Bado sijafkiria kwenda kukaa huko labda badae sanaa.nikifkiria hao majambazi tu
 
Ni kweli kabisa,kuna shamba huko masaki.tunaenda nalo Mdogo mdogo. Bado sijafkiria kwenda kukaa huko labda badae sanaa.nikifkiria hao majambazi tu
Inategemea na uwekezaji wako uko vipi. Kama ni ekari 20+ jenfa nyumba za vibarua kama tatu, utajua na uhakika wa nguvu kazi shambani pia na ulinzi.

Kua na urafiki na OCD wa eneo lako ikiwenzekana I upate namba yake ya simu.
 
Kuchinja kuku mmoja kila siku kutoka bandani, kwa mwezi ni kuku 30, ukila kwa miezi tano hivohivo ni sawa na kuku 150, katika 200 wamebaki 50. Kuku kumlea hadi afikie kiwango cha kula ni atleast 5 months kwa kuku wa kienyeji na kama anapta chakula kizuri. Sijajua kama wanaongezeka au laa. Hii ni ngumu kuamini.
Hujamwelewa! Kuku 200 ni mtaji ambao hauliwi. Wanaoliwa ni wale wanaotokana na mtaji huo. Sasa kama unawala wataendeleaje kuwa 200?
 
Sasa shida watoto wake wanasoma kule kule kijijini, na umeme Tanesco waliweka nguzo na transformer halafu wakasepa mwaka wa pili sasa hawaunganishi watu sema yeye kafunga solar.

Mwaka jana kanunua trakta la kilimo usafiri anao.

Yuko vizuri sema bado mazingira hayanishawishi
ww unapenda tu bata huna lolote mjini kuna bata sana unachagua tu uende wapi weekend hii🤣🤣🤣
 
Kila siku wanachinja kuku mmoja kutoka banda
Hapo ndipo amekulisha matango pori, kuku 200 afu kila siku wanachinja mmoja kwa ajili ya kitoweo. Pia kumbuka mwaka una siku 360😁😁
 
Back
Top Bottom