evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Nimeongelea budget yao ya chakula na matumizi ya eneo la ekari tano sijaongelea vipato vyao vingine.
Sijasema hata watoto wanne wanasoma shule gani inawezakeana wakawa wanasoma Feza na baba ni Mkurugenzi wa Shirika.
hao kuku wanaochukua na kuchinja ungeweka na bajeti ya kuwahudumia.
Gharama za kupanda na kuhudumia hizo mbogamboga wanazochuma na kuzipika.
umeongea kileimani sana kiufupi umeposti utumbo