hao kuku wanaochukua na kuchinja ungeweka na bajeti ya kuwahudumia.
Gharama za kupanda na kuhudumia hizo mbogamboga wanazochuma na kuzipika.
umeongea kileimani sana kiufupi umeposti utumbo
nyie watu mnacheza nyie ukae porini na ndinga lako kali la four wheel majambazi yakuache tu labda uwe mchawi hapooo kimala tu yana sumbua je huko porini je?