Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Usikubali kijana. Mtego huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wateseke kivip ilhal nilikuwa naishi nao vizuri tu
Ndio wananitega nisijekuwa na mwanaume mwingine,of which haiwezekani.Usikubali kijana. Mtego huo.
pambania hilo mama, hapa chini ya jua ni nadra sana mtu atamthamini mtoto wa mwingine kama aliyemzaa mwenyewe.Ndiyo concern yangu kubwa,kuishi na kulea wanangu on daily basis,hivi vya kutuma hela na kuwatembelea once in a while sijaviafiki🙏kwanza hii situation imenifanya nione kama ndio naanza maisha ya kujitegemea,of which is not
Ila hataki ukwel😀Umemulezea vizuri,na huu ni ukweli.
Mkuu kwanza ondoa hiyo fikra ya kwamba hao ni wanao tu.Hilo litakusababisha ufanye maamuzi ya kibinafsi yatakoyoathiri mahusiano yaliyopo na kuleta migogoro na hata kuwaathiri watoto.
Hao ni watoto wenu,wewe na mzazi mwenzako.Hivyo,katika kuamua lolote litakalowahusu watoto,kila mmoja ana nguvu sawa na mwenzake
Na watoto(bila ya kujali umri wao) wanahaki ya kuishi popote ambapo ni pazuri kwa ustawi wao,haijalishi kwa mama au kwa baba na hata nje ya baba na mama.
Hivyo,jadiliana pamoja na mzazi mwenzako,weka matamanio yako pembeni,uelewe nia yake,mueleze mawazo yako...na wote amueni jambo moja,tena bila kuvutana au kulumbana.
Yote hayo yanayotokea sasa,jua chanzo ni maamuzi ya kutokuwa pamoja,hivyo tumia akili sana kufanya maamuzi yako,mgogoro ulio katika nafsi yako au zenu msiuingize kwa watoto na kuwafanya nao waanze kuchagua na kubagua kwamba kule ni kuzuri huku kubaya.
Hilo la mahari,jadiliana na upande wa uliopendekeza hilo ujue nia yao kabla ya kuamua chochote,kuna mambo lazima yafanyike yanayowahusu watoto na mwenza wako wa sasa lazima akubaliane nayo,likiwemo pale ukiwa na watoto mzazi mwenzako ana haki ya kuja kuwaona na kuwatembelea.
Sawa basi endelea kumpa uno la kisingle mama😂We mzabzab huwa unawaza mbususu muda wote🤣anajua kuhusu hao wanangu,sio surprise kwake.
Ila masingke maza wana uno hatari lazima kidume utake kuweka kambi.Eti umletee simba mwingine wztoto si wake na dume lenye mbegu lipo, loh lazima awale hao watoto.
Suala la uno lipo tu,mie binadamu,nakula vizuri,nakunywa,narelax ,niko kwenye umri wa ujana na uzazi ni ngumu niseme niishi kama mjane,na kulea wanangu kwa ukaribu nakutaka sana,ndiyo ishu kubwa hapo.Sawa basi endelea kumpa uno la kisingle mama😂
Wee mwaga uno tuu na vile wote tayari mnakuja na baggage zenu ngoma draw so mtaishi poa tuuSuala la uno lipo tu,mie binadamu,nakula vizuri,nakunywa,narelax ,niko kwenye umri wa ujana na uzazi ni ngumu niseme niishi kama mjane,na kulea wanangu kwa ukaribu nakutaka sana,ndiyo ishu kubwa hapo.
Ushauri mwafaka!!!Basi ana haki ya kukaa na watoto wake,huenda alikuwa na nia ya kuomba msamaha na Wewe hukumruhusu,pengine mngeongea na kuyamaliza mkaendelea kama familia,ila kwa sababu we ulifanya maamuzi ya haraka ndo na yy akaamua kuoa. Hapo inabidi uchague Moja kuwaacha watoto walelewe na bibi yao ili uolewe au uwachukue uishi nao pasipo uwepo wa huyu bwana mpya.
Huwezi kushika watoto na bwana mwingine! Ukiamua kuwa na mahusiano mengine, achana na idea ya kuishi na hao wanao. Kama kuishi na watoto hao ni lazima achana na mwanaume mpya. Choice zipo mbili tu. Hakuna ya tatu kuwachanganya wote itakuwa mtihani utakaopata F tuNdugu yangu kwahiyo nibaki singo for the rest of my life?🤣🤣ndugu mie bado kijana,baba yao yupo ila anafamilia yake tayari,so hakuna tabu katika hilo.maisha lazima yaendelee.
Nakushukuru kwa ushauri wako ila huyu Ironbutterfly ni mbinafsi na hasikii. Options zipo mbili tu. Kushikilia watoto-aachane na huyo bwana. Au ashikilie Bwana - watoto wabaki kwa bibi yao, atazaa wengineUamuzi ni wako, ila nakushauri tu usije ukaharibu maisha ya wanao.
Hujui wewe! Uchanganye familia mbili utoe moja! Hivi unadhani ni rahisi weweHapo sawa.
Ili watambulike kwao na hata sasa wanaishi kwao bwana yule🙏
Nitajulia wapi wakati mpaka sasa ata mtoto wa kusingiziwa sina na nina mika 43Hujui wewe! Uchanganye familia mbili utoe moja! Hivi unadhani ni rahisi wewe
Neno Mahari lina maana yake. Na anayetakiwa kudai mahari ni mzazi wa msichana si mzazi wa mwanaume. Hata kugomboa watoto, utagomboaje watoto wanakaa kwa mwanaume?. Kitu Ironbutterfly hajui, ni kuwa wazazi wa mwanaume wanataka akaolewe mke wa pili.Ukitolewa hiyo mahali utakuwa mke wa pili. Huyo mpenzi uliyenae yeye anasemaje?
Kuchanganya familia mbili zenye damu na koo tofauti huwa zinaleta shida sana, jaribu kufafanua hili kidogo.Hakuna mwanaume akiyekamilika akataka kulea watoto w mwanaume mwingine
Pili kwa sisi waafrica mtoto anachukua ubini wa baba. Kuchanganya family mbili zenye damu na koo tofauti huwa zinaleta shida sana. I have experienced this. .