Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Kama Samia ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato aondoke ofisini waingie wenye uwezo

Asiuze nchi yetu kwa waarabu kwa visingizio visivyokuwa maana
Duh, wewe itakuwa bandari unaisoma kwenye mitandao tu, huijuwi kipato hake.
 
Kwa Congo, model ya DP World - haitafanya kazi vyema.. Congo wana export ( minerals) kuna makampuni binafsi ya kimataifa yana mifumo yao ipo tayari... Kwenye import - kutokana na ukubwa wa nchi inakuwa vigumu kuweka kituo sehemu moja, kama walivyoweka Rwanda, ambayo ni nchi ndogo na unaweza kuweka kituo kuhudumia nchi nzima.... kitu ambacho watu hawaelewi ...DP world inataka kutumia bandari zetu kama feeding ports kwa bandari ya Jebel Ali-- Yaani JEBEL Ali iwe center kubwa ya mzigo...

Nature ya mizigo ya Tanzania, asilimia kubwa inakwenda China / Far East / South East Asia au India ambapo kibiashara kupitishia mzigo Jebel Ali itakuwa costly ....na Hiyo itabidi DP World azishawishi shipping lines na waone faida kupitishia mizigo Jebel Ali , ambayo kwa sasa haileti maana.... Maersk, CMA/CGM/ MSC/ Evergreen/ PIL tayari washa invest kwenye terminal zao kwenye bandari nyingine....
 
Hizo ndiyo ukisikia fikra za kimaskini.

Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kukutua Dar.
Mnafiki wewe udini tu umekukaa na hakuna zaidi
 
FaizaFoxy mrembo wangu,
Watu hatupingi DP World, tunachopinga ni one-sided contract. Adui hapa ni CCM. Mimi ninatamani hata ankali Bakhressa apewe mwendokasi asimamie. Haijalishi dini wala utaifa wa mwekezaji, suala ni watawala wetu si mara ya kwanza kuingiza taifa kwenye mikataba ya ovyo. Hapa ndiyo ilipo hoja.
 
Huyo ni Paul Kagame

Aliikosa Awamu ya 4 ameipata Awamu ya 6
Hakatagi tamaa

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Mkataba na DP World una ubaya gani ?

Kwanza huo mkataba wa uendeshaji bandari na DP World unao?
 
Kweli Kabisa mkuu,huyu atakuwa ametumwa na Wahuni wenzake.
 
Wewe kibibi tuliza mihemko watu tuna akili zetu, hizo ni logistics zinazoendana na kuwinda bandari zetu.....hakuna bandari itamilikishwa kwa mgeni kwa sababu ni swala la usalama wa nchi.
Usalama upi unahatarishwa?
 
Umemaliza...
 
Lengo la mkataba siyo baya, ila terms za mkataba ndizo mbaya tena damn bad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…