Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unamaanisha fani uliyonayo imekugeuza wewe kuwa kero kwa jamii?Hata mshahara wenyewe sina, kuna wengine hapa mtaani wanasema mimi ndio kero kwenye jamii
Kuwa wanatafuta fursa ata kwa kuitengeneza au?Hapa wanasiasa hawawezi kukuelewa kabisa, maana wao mtaji wao mkubwa ni kero za wananchi. Kama wananchi wasipokuwa na kero, basi wanazitengeneza makusudi ili kujijengea jina na kuwekeza kwa maslahi yao binafsi.
Ndivyo inavyotakiwaMimi ni fundi kwaiyo natatua matatzo mengi kwenye jamii kila kazi inayohusisha ufundi nafanya😁😅😁
Hivi fani ya kula mi mama ya misambwanda ulisomea wapi wewe mlafi🤣Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:-
Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi..
Fani yako inakusaidiaje kutatua kero za jamii yako?Hivi fani ya kula mi mama ya misambwanda ulisomea wapi wewe mlafi🤣
Je, unaamini fani ambazo hazitatui kero za jamii ndio zinazoongoza kwa kutokuajirika?Nina fani zaidi ya 3 na zote nina zitumia katika jamii,....
Mtaalamu wa vifaa vya mziki
Fundi ujenzi
Fundi umeme
N.k
Yes ,kwa kiasi chake na fani zenyewe ni fani za kwenye makaratasi ...N.kJe, unaamini fani ambazo hazitatui kero za jamii ndio zinazoongoza kwa kutokuajirika?
Wamekuambia hiyo ndio kero yao?Uchakataji mbususu, nasaidia kinadada katika jamii yangu 😳
Watumie fani zao kukutatua wewe siyoHata mshahara wenyewe sina, kuna wengine hapa mtaani wanasema mimi ndio kero kwenye jamii
Huku kwetu kero ndo huwa zinatutatiza sie tusio na faniWengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:
- Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu.
- Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi.
- Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo wake.
- n.k
Sasa tushirikishe kwa upande wako; fani yako inatatua kero ipi kwa jamii?, au unapokea tu mshahara na posho bila kutatua kero yoyote?
Wewe unapenda kutatua kero zipi?Huku kwetu kero ndo huwa zinatutatiza sie tusio na fani
Mimi ni mzungumzaji tu.Wewe unapenda kutatua kero zipi?