Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Hii ya kuongea ongea hii bila kutenda ni moja ya uvivu au ukanjanja; ni bora uchukue ata fyekeo au jembe upalilie nyasi, utakuwa umetatua kero ya kuondoa masalia ya mbu.Mimi ni mzungumzaji tu.
Kuna kero kubwa za hawa serikali za mitaa.
Hawa watu ni wasumbufu.
Siraha yangu huwa ni mdomo tu kwenye vikao maana mimi ni member wa hzi association za vijana (NGO)
Mkuu imagine mtaa wetu kwasasa ile system ya Taka haipo.
Serikali ya mtaa wamekorofishana na wakandarasi wa magari ya taka na saizi hakuna wa kuzibeba mwezi wa pili.
Sasa kwa mji wetu huu (Dsm) na mbanano wa watu ulivyo unadhani mwananchi anaenda kuzipelewa wapi?
Hakuna hata sehemu utaenda udump kitu.
Kwa swali lako, shortly napenda kutatua kero za wananchi silaha yangu ni kuongea kwa niaba ya watu bhasi.