Fani yako inakusaidiaje katika kutatua Kero za Jamii?

Fani yako inakusaidiaje katika kutatua Kero za Jamii?

Hapana si moja kwa moja. ya kwangu inawasaidia watoa maamuzi “Decision makers” wakija kuamua kwa usahihi kwa faida ya jamii basi nakuwa nimesaidia kutatua matatizo ya jamii.
Ikiwa watoa maamuzi hawajatekeleza kile kinachotakiwa kiwasaidie jamii; hapo inakuwaje?
 
Mlevi nasaidia kuchangamsha jamii zaidi zaidi wakiwa wamelala,mi ninazogo mpk wale chura wanaoliaga usiku hunyamaza kunisikiliza!
Huna tofauti na makanisa ya kilokole, mabar, bodaboda zile zimeondolewa kinini sijui zinapiga makelele, subaru, alteza zote zenye mingurumo 🤣🤣🤣
 
Ikiwa watoa maamuzi hawajatekeleza kile kinachotakiwa kiwaaidie jamii; hapo inakuwaje?
Kiukweli sina cha kufanya, zaidi sana kwenye mzunguko “circle” kazi yangu inaweza pitiwa na dhoruba nikabaki jobulesi na mimi nikazalisha kero. 😂😂
 
Mimi ni nyange nyange Mr White natatua kero za madereva wazembe na wavunja sheria za barabarani nawasaidia kwa kuwachomoa afu mbili ya kubrashia viatu badala ya kuwalima mkeka wa afu 30.wananipongeza Sana na Mimi na wao tunaongea lugha moja
Sina hamu na nyie.

Equation x Oyaaaa huu uzi mzuri mwanangu!
 
Back
Top Bottom