Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

Ukikutana na mwizi usiku amekuvamia anataka kukuibia, wewe muibie shingo.
 
Huku kwetu ukambani simba tunapishana nae tukienda kwenye shughuli zetu...jambo Muhimu anayemwona mwenzake mapema anatulia kumpisha apite..yaani simba akikuona anatulia kichakani wewe endelea na safari kama hujaona kitu....nawe ukimwona mapema tuliz tuli mwache apite...
 
Wewe jamaa hauko serious aisee yaani ukutane na chui alafu ujifanye hujamuona?
 
Nilivyomuoga wa nyoka! Badala nikimbie nitazimia huku najikojolea
Keshatuambia kwamba ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako. Hivyo basi wakati unaanza kuzimia na kujikojolea kumbuka kuuweka mdomo wako sawa ili uweze kuunywa huo mkojo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…