Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

Hi nimeipenda Sana maana fungu la kumi linasaidia Sana kulinda biashara na kazi yako maana nimeona kwangu Mungu ametenda kwa ajili ya fungu la kumi .Itabidi na hayo mengine niyafanyie kazi Asante Sana kwa ushauri mzuri mno wenye faida Sana .Ubarikiwe mno
 
tuamkeni ndugu zangu... wanao pokea fungu la 10 wamezitega pesa zetu😭😭😭​
 
Kuna induism, budha, Africans religion, atheist hapa na wao inakuwaje.
 
Mangi hakuna kinacho shindikana sema labda nini umeweka kipaumbele chako?
 
Mangi nidhamu ya hela ipo karibu na uchoyo so usiogope hata kuitwa bahili ili kulinda uchumi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…