Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Koma! sio dada yako mie, hujanichimba leo tuu,.... nishakuona mara kibao tu, kwenye topic nyingine, niache, sili kwako.
Wapi nimekuchimba? Alo kwanza mie nachangia mada sina hili wala lile.
Na mambo ya kula kwangu tena yanakujaje....basi nakukaribisha lunch hapa njoo
 
"Mama yeyoo, hebu naomba huo msumari wa zege nchi 8 na nyundo nigongomelee kitu."
 
Wwe lazima utakua Mramba asali,tupe na sisi mchongo wa mzinga ulipo na sisi twende tukarambe asali kwenye mzinga hata tukingatwa na Nyuki poa tu!!![emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakujulia wapi mie mpaka nianze kukublackmail....mie nipo na hoja zangu basi napiga tantalila hapa siku zie de kaburi linifikie nikatulie zangu six feet under. Mambo ya kuanz kukujua nayatolea wapi
Lione linavyoropoka,kama lilevi vile....nishakwambia kunijua isiwe tabu, sili kwako, mpumbavu wewe.
 
Wanasema ukikosa Mbunye eti Mwanaume unakua na hasira ambazo zinaweza kukufanya ukachizika! Ndiyo maana kuna Wanaume wengine hadi wanazisafiria kwenda kuzigonga,au wanazilipia hadi nauli ili waletewe Mbunye wagonge!!!
Ila bwana bila kupata mbunye akili haifanyi kzi vizuri
 
Chukua time huko,mpuuzi wewe Hunijui, kama wanavyonijua wengine kumbe, eti kisu kikali, walimtahiri mkeo??? wewe endelea kuzuga hapo, wanafiki wotee mfe kabla ya siku zenu, kenge we!,
Ah sasa tunkufaje wakati siku zetu hazijafika🤣🤣🤣🤣 mke wagu anaingije tena hapa jamani au ndio kutaka kusema tuu kuwa mke wangu ana sura personal ? Lakini kumbuka kumsifia pia kuwa ana tako skonsi
 
Ah sasa tunkufaje wakati siku zetu hazijafika🤣🤣🤣🤣 mke wagu anaingije tena hapa jamani au ndio kutaka kusema tuu kuwa mke wangu ana sura personal ? Lakini kumbuka kumsifia pia kuwa ana tako skonsi

Wewe ni mnafiki, na ukiwa mzee utakua mchawi, sikujui lakini huo ndio ukweli, by the way,mimi ni mzuri sana kuliko hizo cheap nyapu, unazobebaga malaya wewe!, nishakuambia sijali kama unanijua, na sijali uko willing ku disclose how much unanijua, kama unadhania utani shuuusshhhhh umepotea, kenge we!
 
Sera za kimagharibi za kipumbavu Sana,

Wanwake wamegeuza mahusiano Kama kitega uchumi.

Angalia vizur familia ya kina Kardashian,
Wanavuna mapesa TU kutokana na break up za mahusiano[emoji34]
 
Aise mie sijapinga kweli wee mzuri na wala sijapinga kuwa mia nagegeduana na malaya cheap...vyote nakubaliana na wewe.

Mbona unang'ang'a nia mie kukujua wewe wakati mie wala sikujui.
Usije ukawa umechanganya madesa mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…