Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Tatizo lenu mnataka kuwaridhisha wanawake kwa kuwapa pesa.

Mwanamke haridhiki na pesa yako hata siku moja.

Mwanamke anaridhika na vitu anavyovifikiria yeye.

Ndio maana Dangote hana Mke.
Billigate hana Mke
Billionea number one
Musk hana Mke
Jeff Bezos sina taarifa zake.
Steve Jobs naskia alikufa akiwa Bachelor
Na hao ndio ma MoneyGoats.

Ishini nao kwa akili.
 
ahhaha wewe jinsi navyoendelea kukusoma ndivyo navyoendelea kukuona umesoma ila mweupe na hauko wise, utasemaje 99% ya wanaume wamekubaliana na wewe, unajua kuna wanaume wangapi humu??? au mapoyoyo yaliyokua twisted kwenye malezi na wenye 'profile' kama lako..walivyoku support ukajua wanaume wote wanakusupport????... mtu anakuja na wanawake ni chombo cha starehe, huyu ana tofauti gani na wewe? au unadhania mwanaume mwenye aliyetoka kwenye malezi mazuri akatoka well rounded person ata support huu utumbo ulioandika hapa?
"Nimesoma ila mweupe" aise ?! inashangaza kiasi gani kumiliki makazi katika nchi tatu tofauti, ni mwendo wa kupanda pipa
nchi hii, pipa nchi ile, pipa kurudi nyumbani Tanzania pipa vocation afu nikawa "mweupe" hivi mweupe ni mimi au baba yako, familia yako yote na wewe kapuku.

Asilimia ni ya wachangiaji hao wasiochangia ni simps na weak men wanaume wajinga wanaoendeshwa na wanawake.
 
"Nimesoma ila mweupe" aise ?! inashangaza kiasi gani kumiliki makazi katika nchi tatu tofauti, ni mwendo wa kupanda pipa
nchi hii, pipa nchi ile, pipa kurudi nyumbani Tanzania pipa vocation afu nikawa "mweupe" hivi mweupe ni mimi au baba yako, familia yako yote na wewe.

Asilimia ni ya wachangiaji hao wasiochangia ni simps na weak men wanaume wajinga wanaoendeshwa na wanawake.

hahaa uta boast kila kitu ila wewe ni mweupe, ushasema mwenyewe uko hapo sababu ya 'connections'...

Eti asilimia ni ya wachangiaji, unatarajia kuja hapa kwenye hii platform kuvuta watu wenye 'profile' kama lako, halafu ujisifie kuwa 99% wanaume wameku support, nina mashaka na hio elimu yako, labda kweli uko hapo sababu ya 'connections' peke yake na sio elimu, haijakukomboa kabisaa...

Eti wanaume wanao treat wanawake zao kama queens ni weak men, unashangaza kweli
 
We Chausiku na wewe ni queen ?! Ebo !!
 
Kwa kwel hawa viumbe wanapenda kuchukua na kuchukua na kuchukua.

Kuna mmoja huyo nilikuwa nampa mpa vihela,sasa kipindi fulani nikawa na mambo mengi pesa ikabana,alivyoniomba nikamwambia kuwa sahivi siko vzur,basi akasema nimkopeshe nikampa hiyo hela hakurudsha nikawà namdai akawa analia lia tu hali ngumu,siku moja nikamwambia nmekusamehe huyo hela,nkajua ndo itakuwa mwsho wa usumbufu,lakin baadae alianza tena usumbufu wa kuomba omba
 
hahaa uta boast kila kitu ila wewe ni mweupe, ushasema mwenyewe uko hapo sababu ya 'connections'...

Eti asilimia ni ya wachangiaji, unatarajia kuja hapa kwenye hii platform kuvuta watu wenye 'profile' kama lako, halafu ujisifie kuwa 99% wanaume wameku support, nina mashaka na hio elimu yako, labda kweli uko hapo sababu ya 'connections' peke yake na sio elimu, haijakukomboa kabisaa...

Eti wanaume wanao treat wanawake zao kama queens ni weak men, unashangaza kweli
Chausiku it was nice sharing and exchanging words, ila naomba kukuacha mkuu I have matters to catch up. Wewe pia najua unahitaji kufua chupi za boyfriend wako, tchao chat to you after some time.
 
Chausiku it was nice sharing and exchanging words, ila naomba kukuacha mkuu I have matters to catch up to. Wewe pia najua unahitaji kufua chupi za boyfriend wako, tchao chat to you after some time.

Mkuu uwe na siku njema, please take her out,buy her diamond rings, designer handbag..and see how this will change things...bye..peace!
 
Ooh buy her what ?! Hizo taka zote anapata tena "customized" achana na mabati gold, diamonts za mitaani mkuu ushawahi kuona "customized jewellery" ?!

Naona umesahau kwenye uzi wangu nilisema wazi mke na mama ndio wanawake pekee wanahitaji attention ya mwanaume.
 
mnhhhhh, wewe si umeaga au???

Rare,uwe mchoyo kwa wanawake, kwenye relatioship zako, then usiwe mchoyo kwa watu wengine, be mama au mke... naona unataka kuonyesha uko responsible man kwa mkeo, lugha yako uliyotumia kwa wanawake throughout kwenye huu utumbo unaoita topic, uchoyo wako, wewe sio responsible man hata kidogo..utasema tu hapa 'customized jewellery' ila mkeo hata batiki lako hajawahi kuona...

Nakuaga for the last time, usinipotezee muda, bye!
 
Back
Top Bottom