Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Na muhimu zaidi najivunia kua mchoyo kwa wanawake, na ninatamani wanaume wote tuwe wachoyo tujali malengo yetu ndio maana nileteta uzi huu mujarabu.
which is sad really, na wanaume twisted kama wewe wakakuona Mungu wao!,tutawarekebisha tu hayo matatizo yenu..lol
 
Nani anakuchukulia kama ATM? pole naona mmekutana, wewe unamchukulia kama chombo cha starehe, na yeye anakuchukulia ATM, 🤣
Wala tusiende mbali nimetongkza madwmu humu jf kwa magreat thinker wote kwanza unapiggwa mzinga wa laki🤣🤣🤣🤣🤣

Nikagundua kumbe wanawake wanatuona kama atm basi wacha na mie niwachukulie kama chombo cha starehe
 
Wala tusiende mbali nimetongkza madwmu humu jf kwa magreat thinker wote kwanza unapiggwa mzinga wa laki🤣🤣🤣🤣🤣

Nikagundua kumbe wanawake wanatuona kama atm basi wacha na mie niwachukulie kama chombo cha starehe

Watu wa your type yako huwa mna attract watu wa type yenu...lol
 
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
Naunga mkono hoja.
 
hahahaha eti perfect??? haahhahhahahahahhahahahahahahahahahahaha..... wewe ni msomi kama una digest kinachoandikwa humu, ushajijua uko kundi gani..!
Kinachoandikwa humu ni wewe tu ndio unapinga mkuu, 99.9% wanakubaliana na mimi. Sasa unasemaje nidigest kinachoandikwa?! Actually wewe ndio nikupe wito kudigest kinachoandikwa humu.
 
Kinachoandikwa humu ni wewe tu ndio unapinga mkuu, 99.9% wanakubaliana na mimi. Sasa unasemaje nidigest kinachoandikwa?! Actually wewe ndio nikupe wito kudigest kinachoandikwa humu.

ahhaha wewe jinsi navyoendelea kukusoma ndivyo navyoendelea kukuona umesoma ila mweupe na hauko wise, utasemaje 99% ya wanaume wamekubaliana na wewe, unajua kuna wanaume wangapi humu??? au mapoyoyo yaliyokua twisted kwenye malezi na wenye 'profile' kama lako..walivyoku support ukajua wanaume wote wanakusupport????... mtu anakuja na wanawake ni chombo cha starehe, huyu ana tofauti gani na wewe? au unadhania mwanaume mwenye aliyetoka kwenye malezi mazuri akatoka well rounded person ata support huu utumbo ulioandika hapa?
 
Back
Top Bottom