Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 dah kuna watu mna madharau. Kwamba ada inachangishwa kama harusi siku hizi? Daslam kuna mambo.
Acha utani aisee huyu yupo Dom na nimuajiriwa ila ananjaa balaa 😂😂😂Huyu sio huyo huyo anaenisumbuaga mm kweli?? Nahsi tunashare mzee
Shut up we house girl wangu mtarajiwaManaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
Shut up we house girl wangu mtarajiwa
mkuu ww sio mchoyo? mara ya mwisho umemtumia lini pesa rafiki yako yoyote aliekua na shida wa "kiume"??sio sheria ila ukiwa mchoyo mchoyo hata nyumbani kwako utakua mchoyo tu, na watoto wako wa kike utawaona mzigo! maana ushazoea kutoa ili upate something in return, (mbunye).
Mkuu nakuprove wrong kwa kila unalosema, mwanzo ulisema nimelelewa kimasikini jambo ambalo sio kweli sasa unasema sijawahi kupata upendo.
Kichekesho mke niliyeoa na chotara wa Hindu na Latin japo ameishi bongo mda mrefu wa maisha yake. Hivi unajua jinsi ilivyo kumiliki mpenzi nywele ndefu laini ngozi chotara ?! Nyie makuku ya kienyeji kwangu hata ni taka taka mkuu,
Sio kweli kwamba sijawahi kupata upendo wa wanawake, tena nyie makina Chausiku ndio nafanya kuyakimbia sitaki harufu yenu kabisa. Check this out kuna mwaka nilitomb.a miss sijui utalii aliletwa Arusha wakafikia hotel nilipokuwepo badae ananiambia wao ni mamiss wamekuja kwenye outreach bla bla bla
mkuu ww sio mchoyo? mara ya mwisho umemtumia lini pesa rafiki yako yoyote aliekua na shida wa "kiume"??
Negative mkuu, sijawa succeesful kwa ajili ya elimu, exposure HAPANA NAPINGA japo hzo ni catalyst tu. Kufanikiwa kunaletwa na passion, hardwork, consistency na despline ya fedha. Na kati ya desplanatory strategies ni kutosypathize na manipulations za wanawake.Ndio hukupata upendo, kuoa sio tatizo, wapo kibao wameoa na hawapedwi,sidhani kama uko kwenye healthy relationship!, hakuna mwanamke anayejielewa akakaa na mwanaume anayetreat wanawake kama shit!, no way...!... unless mna intentions zenu zinazowaweka pamoja sio upendo, upendo una principle ya reciprocity , nakupenda , unanipenda, uni treat like shit nikupende? no way... kama unadhania unapendwa inabidi u examine uhusiano wako sana, inaelekea labda unawashauri watu humu wasisaidie wanawake halafu kumbe unachunwa tu huko...sababu mpaka sasa sijaona mwanamke wa kukupenda,lol...Moja una sura mbaya, mbili una treat wanawake like shit,uniambie kuna mwanamke akupende? hili sio profile la mwanaume anayependwa! ....nakwambia ukweli una hela,una offer financial security baasi...mtu anafikiria akizaa na wewe watoto wake watasoma vizuri, her future is secured, kuhusu kukupenda naturally no way!
Mwisho kutomber mamiss huko Arusha sio sababu ya kusema ulikua unapendwa, nani akupende wewe...nishakuambia wanawake wapo kibao... hata wauza nyapu, na wapo kila mahali, mamiss, ofisini..nk
Uko hapo ama uko successful sababu umesoma, both in Tanzania na nje, una exposure, una hela sababu ya hili profile ila usiseme uko successful sababu umewanyima sijui wanawake gani huko hela ya kusukia au vocha!
Kamatia chini😁tuliaaa
I agree sirWomen are ingratitude
Wanachojua ni kuchukua na kuchukua
Swali zuri, wanachojua wao ni kuchukua na kuchukua na kuchukua full stop.mkuu ww sio mchoyo? mara ya mwisho umemtumia lini pesa rafiki yako yoyote aliekua na shida wa "kiume"??
Good, kufa na mashida zako b'coz thats exactly what you deserve.Kwendaa, siji kufanya kazi kwa watu wanaotreat wanawake like shit wacha nife na shida zangu.