Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooooooooo...Tatizo la haya mambo hata ujifanye kauzu vipi bado tu hutaweza kuishi mwenyewe.View attachment 2249408View attachment 2249409View attachment 2249411
Rudi shule..Women possess negative power. Wana uhusiano wa karibu sana na shetani. Mara nyingi ili shetani akupate wewe mwanamume hupitia kwa mwanamke. Jambo hili lilianzia pale kwenye bustani ya Edeni na litaendelea hadi pale shetani atakapotupwa kwenye ziwa liwakalo moto na kiberiti. So watch out! May you come to Jesus for your salvation and eternal life kabla ya mlango wa neema kufungwa!
YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
True. Ukiushinda huu mtihani utafanikiwa sana.Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
[emoji28]Mm kuna duu kanitafuta last week eti nilimpaga lift miaka mitano iliyopita,yaani narecall cpat picha,sasa tukataftana ile kumuona hakunivutia kiviiile ,na hata simkumbuki na sikumtia wala nn,kwanza mfuuupi.
Jana asubui ananiambia ana 2 days kaishiwa gesi,hee na wakati wife angu ana almost mwezi now anapikia mkaa...yaani nikamblok hapo hapo
hehehe. Utapigwa mkuuMm kuna duu kanitafuta last week eti nilimpaga lift miaka mitano iliyopita,yaani narecall cpat picha,sasa tukataftana ile kumuona hakunivutia kiviiile ,na hata simkumbuki na sikumtia wala nn,kwanza mfuuupi.
Jana asubui ananiambia ana 2 days kaishiwa gesi,hee na wakati wife angu ana almost mwezi now anapikia mkaa...yaani nikamblok hapo hapo
Hii list uliyotaja huwezi kuifikia hata siku moja kama wewe ni Mpenda chini au unanifanya unajali sana wanawake. You need Strong heart.Malengo yangu yote na ziada nimeyafikia i.e family, residence, a bunch of asset folks would only dream of, space from their negativity, life without drama, a strong connection to the system, travels and vocations etc etc list ndefu kama mkojo wa mlevi
Kwani kumuhonga mwanamke ni sheria na kwanini nimpe kama anauza fresh nitanunuaMnh huyu muandishi wa hii topic kama sio yule Robert..sijui
Hautakuwa kwenye committed relationship uka enjoy Matunda ta real love, never ever ! Kwa kudhani kila mwanamke yuko kwako ku gain something...tunakupa pole kwa kweli...
Yaani wewe utakua ulikua Mchoyo sana,ulivyokua mdogo. Poor you! Sikulaumu japokua umesema una mapesa sasa hivi, lakini umekulia maisha ya shida sana, umekua surrounded na poverty ndio maana uko selfish,sababu unaona pesa ya thamani sana, not to be wasted, not to be given to anybody.... sikulaumu mazingira na experiences tunazokulia ndizo zinazofanya tuwe confused tukiwa wakubwa...
Najua utakataa lakini ukweli ni huu...
1. Umekulia kwenye umaskini.
2. Una uchoyo hata kwa ndugu zako. Eti hapo kasema , atasaidia dada zake ila sio wanawake, hao dada sio wanawake?, sema wewe ni mchoyo, hutoi hela yako/msaada kwa yoyote na sio mwanamke peke yake, art of giving, haiangalii unatoa msaada kwa nani, kiwete au mzima, ndugu au sio ndugu, whether you get something back or not, au mwanamke na mwanaume ila ukiwa mchoyo ndio utafanya tofauti na hayo mambo.... eti humsaidii mwanamke sababu she has nothing to offer than mbunye...yaani unatoa msaada to get back something ndio unapproved wwe ni mchoyo... hivyo eti?! ...basi kasaidie wanaume wenzio upate di**ck!... maana jinsia ziko mbili tu mwanaume na mwanamke , na wewe unatoa msaada kwa kuexpect something in return, haya wanaume wenzio wana offer di**ck...
3, Wewe ni mtu uliyekataliwa sana na wanawake/ rejected because of poor status ukajiapiza ukipata hela hautampa mwanamke pole weeeee
Nyie watu mliokuwa confused na malezi, msituumie hii platform ya bwana Melo, ku influence upumbavu... na wanaume wengine wameingia kichwa kwenye huu ujinga...
Rafiki uhali gani? Nasoma comments tuManaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
Rafiki uhali gani? Nasoma comments tu
Kwani kumuhonga mwanamke ni sheria na kwanini nimpe kama anauza fresh nitanunua