Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Umeua Mwamba big up to you
 
Mzee naomba connection ya huyu manzi...nina jambo langu la kiofisi nataka kudiscuss nae. Mpe taarifa CEO anasbo
 
Hasira za nini acha dawa iwaingie, usipopelekewa wewe wadogo zako au dada zako watapelekewa moto tu na kuachwa, hii ndiyo dawa yenu, hamna shukurani nyie.
dawa ipi? kama unadhania hii topic itabadilisha anything kwa wanawake, then umepotea!,...mtaendelea kutoa hela mpaka mwisho wa dahari,lol
 
Pole mkuu story yako imenigusa Sana utadhani nimefanyiwa mimi
 

[emoji182][emoji182][emoji182]
 

NONSENSE

Sana sana umeprove nyie mliokuwa shaped na experiences mbaya na wanawake ndio mnakuja kuandika upumbavu humu...

Utterly rubbish!
 
Na nyinyi mtaendelea kuzalishwa tu bila kuolewa kama hamtabadilika
hihi wanawake wangapi wamezalishwa bila kuolewa mpaka iwe ishu????, eti unatoa kwa mkeo sio mpenzi, mkeo yeye ni dume au???

nina time kama mlivyo nayo nyie.
 
hihi wanawake wangapi wamezalishwa bila kuolewa mpaka iwe ishu????, eti unatoa kwa mkeo sio mpenzi, mkeo yeye ni dume au???

nina time kama mlivyo nayo nyie.
Nakushauri kwa nia njema bidada kama hautabadilisha mentality uliyonayo hautakuja kuolewa kuwa mzuri pekee hakufanyi iwe una sifa ya kuolewa na pia jitahidi upunguze matusi mwanamke kaumbwa kuwa na staha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…