Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

My take, usitegemee kuona ‘a good side of a women’ iwapo ulitumia kigezo cha shida zake kumpata kingono hapa ukijipendekeza siku shida zake zikiisha anaenda kwa yule aliempenda and akamsaidia bila kashkash zozote.

Afu pia mnapoleta mada usipende tumia nene ‘wanawake’ say hawa dada wataje majina. I can’t say mahusiano yangu yapo perfect ila kugeneralise mambo hailet good image.

Unaeza anzisha mada bila kutukana au kutumia harshy words

Gudnait Fam
 
Vipi kama mambo yako ni wanawake ?

Ukiwa na tabia ya kuchukulia life simple na ukigundua kwamba maisha ni kuishi basi utakuwa mwenye furaha wakati wote (sababu utafanya kile roho inapenda) By the way

Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
 
Haa ha ha noma sana
 

Mkuu unakufuru sana kumsemea binadamu mwenzako,usimwamini Mwanamke kiasi hicho utakuja kujinyonga bure utuachie sisi mzigo mkubwa wa tozo za serikali
 
" ... mitaani piga ng'embe na ke wasikuzoee kabisa...", nimejifunza kitu hapa, nimewahi experience madhara ya hiki kitu. Heshima yangu ilishuka to -100%. Sipo tayari kurudi nilikotoka.
 
Liverpool VPN kasema weee hafi kachoka

Kuna mwingine nae kasema, "katu usimwonee huruma mwanamke"

Kuna watu wamempinga ila wengine tumemwelewa

Na wewe tena umerudia jambo hilo hilo

Vijana wasipoelewa baaasiiiiii, tuwaache wapambane na hali zao
Kizazi cha cash vampires, wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika
 
Na kinacho tuponza wanaume ni huruma yetu.
Hili umesema kweli,

sa hv kuna fala mmoja nilikuwa namuhudumia kama mke wa ndoa, nilijitahidi kumtimizia mahitaji yake mwisho wa siku karudiana na Ex wake akamzawadia na mimba kabisa sasa mimba inavyomuendesha anataka niende kumuona,

Nikimuuliza baba kijacho anasemaje?

Anaruka kwa kudai mbona maswali mengi

Sijui ananichukuliaje huyu malaya, sema nini, kanikuta nipo active sana, ila angenijua vizuri huenda angeniogopa

Maana namchukia pia nna hasira nae kinoma ila bahati mbaya hajui, hii yote imesababishwa na malezi ya kijasusi niliyokulia,

Maana mimi mtu hata kama ninamchukia hawezi kujua, wenyewe wanasemaga,

"keep your friend close but keep your enemy CLOSER"
 
Kizazi cha cash vampires, wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika
Nakazia hapo kwenye,

"Wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika"

Mkuu nitumie namba ya wakala PM nikutumie hela ya kinywaji nipo SIRIAZ umenifurahisha sana
 
Mkuu pole ila isikushangaze alikua kwako kupata hifadhi tu na hata sana anakulia timing umtekelezee 1,2,3 akitokea mwenye pesa zaidi hata huyo ex wake atakimbiwa na hata akikimbiwa bado mwanadada atataka ex pamoja na wewe muendelee kumtekelezea 1,2,3 huku huyo boya mpya nae anatekeleza 1,2,2 yani ni mwendo wa kuchukua na kuchukua zaidi na zaidi CASH VAMPIRES
 
Nakazia hapo kwenye,

"Wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika"

Mkuu nitumie namba ya wakala PM nikutumie hela ya kinywaji nipo SIRIAZ umenifurahisha sana
Asante kwa ukarimu wako mkuu, hyo ya kunitumia ongeza pale kwenye mtaji wako mkuu nitafurahi kusikia umefanikiwa kibiashara
 
Asa huon we cay say hapa dada alikupenda na wewe ulimpenda

the case is closed , wanaolalamika humu most hawapendwi na shoshi zao.
Hata kama hawapendwi sio lazima ule hela yake kama umpendi mwambie sikupendi mwanaume hawezi kuangaika na wewe ila hoja uliotoa bidada inaonekana una busara na hekima yakutosha wafunde hawa mabinti wasiku hizi ili huwasaidie, wanawake wasasa ni wachache Sana wanasifa zakuolewa the rest ni pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…