Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

My take, usitegemee kuona ‘a good side of a women’ iwapo ulitumia kigezo cha shida zake kumpata kingono hapa ukijipendekeza siku shida zake zikiisha anaenda kwa yule aliempenda and akamsaidia bila kashkash zozote.

Afu pia mnapoleta mada usipende tumia nene ‘wanawake’ say hawa dada wataje majina. I can’t say mahusiano yangu yapo perfect ila kugeneralise mambo hailet good image.

Unaeza anzisha mada bila kutukana au kutumia harshy words

Gudnait Fam
 
Vipi kama mambo yako ni wanawake ?

Ukiwa na tabia ya kuchukulia life simple na ukigundua kwamba maisha ni kuishi basi utakuwa mwenye furaha wakati wote (sababu utafanya kile roho inapenda) By the way

Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
 
Kuna jirani yangu hapa ni playboy balaa. Ilitokea majuzi mwanamke anapigana na mwanaume wake anachezea kichapo. Watu wote tulitoka kuamulia ugomvi, jamaa hakutoka. Asubuhi tunakutana namuuliza mbona ulichuna.

Akanambia wewe watazame hao mliokuwa mnawaamulia muone namna watawafanya muonekane wajinga kwa kuendelea na mahaba yao.
Haa ha ha noma sana
 
Kuna manzi mmoja nlimtania tu alifika ofisini kwangu nikachukua namba yake ya simu...aisee hata sijamtongoza tayari kashaanza kuniita baby, sijakaa vizuri vibomu ,vinaanza ...mara ooh baby ninashida ya pesa naomba nitumie.Nikamchekecha tu kuwa askilizie kuna ishu ikikaa poa ntamtumia....dah zilianza txt kama ugomvi ....umenidanganya hujanitumia, vp unantumia saa ngapi...n.k nkamrushia pesa ...kesho yake kuamka tu anashida tena ya pesa, mara sijui ana njaa hajanywa chai, mara sijui ana shida hii na ile .....ukicheki ni mke wa mtu. Nmempotezea mazima akipiga simu yake naiangalia tu siipokei.


Some women are disgusting parasites, hawana faida yoyote zaidi ya kukunyonya tu.

Kuna mwingine nilikuwa na namba yake muda mrefu tu, siku nikamtxt tu...kwenye kuchat ..akaanza nina shida ya kiasi kadhaa niazime ntakurudishia ..daaah nikampa kumpima tu ila nlijua kuwa hapa hakuna mpango wa kurudishiwa, mara ametengeneza mazingira niwe mpenzi wake , sijakaa vizuri vibomu vinaanza mara sijui nina shida ya pesa hivi, mara sijui hapa nadaiwa kwenye biashara ,mara mtoto wangu anaumwa sina pesa ya hospitali n.k .Nikaancha kumpa attention, na yeye akapunguza mawasiliano na mimi, nikimtxt hajibu sms zangu kama mwanzo ,unaweza ukamtxt watsapp ukaona blue ticks halafu asijibu, nikakata mawasiliano , ila cha ajabu hanitafuti mpk awe na shida ya kitu kutoka kwangu .Nishamjulia nami namfungia tinted tu.

Duniani kuna wanawake wawili tu ndio wamekuwa wema kwangu, wa kwanza ni Mama yangu kipenzi (Mungu amjaalie afya na umri wenye baraka tele) na wa pili ni mke wangu kipenzi. Hawa ndio wanawake bora kwangu.

Mke wangu alinipenda in a mysterious unconditional way na kama nikifanikiwa huko mbeleni naweza kuandika kitabu juu yake. Nathubutu kusema kuwa sijapata na sidhani kama ntakuja kupata tena mwanamke kama yeye mpk naondoka katika mgongo huu wa ardhi.

Mkuu unakufuru sana kumsemea binadamu mwenzako,usimwamini Mwanamke kiasi hicho utakuja kujinyonga bure utuachie sisi mzigo mkubwa wa tozo za serikali
 
Kweli mkuu, unapata kijana Mungu kamfungulia milango pesa iko afu anaendeshwa na wanawake, anahonga honga kijinga wengine anahonga na mbunye hapewi aisee !!

Hua inanikera sana. Wanawake waliumbwa kwa ajili ya wanaume haipaswi watuumize akili mkuu na kua chanzo cha kupoteza ari na amani ya moyo.

Mwanamke akileta ulafi wa hela piga chini hiyo ngombe, mitaani acha mazoea ya kishamba na ke wasikuzoee kabisa. Hands on your wheels.
" ... mitaani piga ng'embe na ke wasikuzoee kabisa...", nimejifunza kitu hapa, nimewahi experience madhara ya hiki kitu. Heshima yangu ilishuka to -100%. Sipo tayari kurudi nilikotoka.
 
Liverpool VPN kasema weee hafi kachoka

Kuna mwingine nae kasema, "katu usimwonee huruma mwanamke"

Kuna watu wamempinga ila wengine tumemwelewa

Na wewe tena umerudia jambo hilo hilo

Vijana wasipoelewa baaasiiiiii, tuwaache wapambane na hali zao
Kizazi cha cash vampires, wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika
 
Na kinacho tuponza wanaume ni huruma yetu.
Hili umesema kweli,

sa hv kuna fala mmoja nilikuwa namuhudumia kama mke wa ndoa, nilijitahidi kumtimizia mahitaji yake mwisho wa siku karudiana na Ex wake akamzawadia na mimba kabisa sasa mimba inavyomuendesha anataka niende kumuona,

Nikimuuliza baba kijacho anasemaje?

Anaruka kwa kudai mbona maswali mengi

Sijui ananichukuliaje huyu malaya, sema nini, kanikuta nipo active sana, ila angenijua vizuri huenda angeniogopa

Maana namchukia pia nna hasira nae kinoma ila bahati mbaya hajui, hii yote imesababishwa na malezi ya kijasusi niliyokulia,

Maana mimi mtu hata kama ninamchukia hawezi kujua, wenyewe wanasemaga,

"keep your friend close but keep your enemy CLOSER"
 
Kizazi cha cash vampires, wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika
Nakazia hapo kwenye,

"Wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika"

Mkuu nitumie namba ya wakala PM nikutumie hela ya kinywaji nipo SIRIAZ umenifurahisha sana
 
Hili umesema kweli,

sa hv kuna fala mmoja nilikuwa namuhudumia kama mke wa ndoa, nilijitahidi kumtimizia mahitaji yake mwisho wa siku karudiana na Ex wake akamzawadia na mimba kabisa sasa mimba inavyomuendesha anataka niende kumuona,

Nikimuuliza baba kijacho anasemaje?

Anaruka kwa kudai mbona maswali mengi

Sijui ananichukuliaje huyu malaya, sema nini, kanikuta nipo active sana, ila angenijua vizuri huenda angeniogopa

Maana namchukia pia nna hasira nae kinoma ila bahati mbaya hajui, hii yote imesababishwa na malezi ya kijasusi niliyokulia,

Maana mimi mtu hata kama ninamchukia hawezi kujua, wenyewe wanasemaga,

"keep your friend close but keep your enemy CLOSER"
Mkuu pole ila isikushangaze alikua kwako kupata hifadhi tu na hata sana anakulia timing umtekelezee 1,2,3 akitokea mwenye pesa zaidi hata huyo ex wake atakimbiwa na hata akikimbiwa bado mwanadada atataka ex pamoja na wewe muendelee kumtekelezea 1,2,3 huku huyo boya mpya nae anatekeleza 1,2,2 yani ni mwendo wa kuchukua na kuchukua zaidi na zaidi CASH VAMPIRES
 
Nakazia hapo kwenye,

"Wanaume wazingatie malengo yao urafiki na wanawake ni kukaribisha matatizo yanayoepukika"

Mkuu nitumie namba ya wakala PM nikutumie hela ya kinywaji nipo SIRIAZ umenifurahisha sana
Asante kwa ukarimu wako mkuu, hyo ya kunitumia ongeza pale kwenye mtaji wako mkuu nitafurahi kusikia umefanikiwa kibiashara
 
Asa huon we cay say hapa dada alikupenda na wewe ulimpenda

the case is closed , wanaolalamika humu most hawapendwi na shoshi zao.
Hata kama hawapendwi sio lazima ule hela yake kama umpendi mwambie sikupendi mwanaume hawezi kuangaika na wewe ila hoja uliotoa bidada inaonekana una busara na hekima yakutosha wafunde hawa mabinti wasiku hizi ili huwasaidie, wanawake wasasa ni wachache Sana wanasifa zakuolewa the rest ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom