Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Anyway labda kwa kuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo.
 
Sasa na mimi nimemwambia, "wewe ndo mwanamke wa mwisho kuthaminiwa na mimi"
Akaniuliza kwa nini, nikamjibu nyinyi ni kama mbwa hamridhiki na mnachokipata
Mkuu usitukane wanawake ni wake zetu ujue na wanatupa utelezi bure
 
Duuh au ulimfumua akiwa anaumwa bila huruma?
 
Mungu kakuepusha na jambo kubwa endelea kuwa mtulivu
 
Nakushauri pitia comment zangu kwa huyo niliyemzungumzia kwenye huu uzi,

kisha nenda pitia na comment zangu kwenye uzi wa Mshana Jr unaoitwa "mada maalumu kwa wanandoa"

Kisha fikiria mnayotufanyia wanaume kama ni mazuri,

Ninachoshukuru ni kwamba najua kujicontrol ila kinyume cha hapo sijui ingekuwaje
 
Huo mgawo ulikuwa kam wa Arithmetic progression😅😅😅
Acha kabisa, wakazi wa Karatu wengi wanamfahamu kwani amewahi kupewa vikazi hadi halmashauri ya mji.
Nilimfshamu kupitia boss wangu kwani wote ni Wadenish hadi kwake nimefika.
 
Acha kabisa, wakazi wa Karatu wengi wanamfahamu kwani amewahi kupewa vikazi hadi halmashauri ya mji.
Nilimfshamu kupitia boss wangu kwani wote ni Wadenish hadi kwake nimefika.
Huko Ulaya ndio kuna Gold Digger walioenda shule achana na hawa akina ashura wanataka pesa ya chipsi tu.
 
Huko Ulaya ndio kuna Gold Digger walioenda shule achana na hawa akina ashura wanataka pesa ya chipsi tu.
Sahihi kabisa hasa hiki kizazi cha millenia, feminism imetawala kila kona!! Idadi ya watu wanaofunga ndoa ktk nchi za ulaya na marekani inazidi kuporomoka kila kukicha . Vijana wanahofia haki zilizopitiliza wanazopewa wanawake. Divorce settlements imewaacha wanaume wengi kuwa maskini.
 
Waacheni wanawake wajiamulie mambo yao wenyewe.
Shida ya pesa sio shida ya mpenzi au ya Mume.
Mwanamke atakuitikia kama hana pesa, na wewe unazo za kumpatia.

Kumbuka anakuitikia na sio kukupenda.

Kupenda kubaki kwa mwenyewe anaye amua.
Kama kuna hela ya kuikumbuka au kudaiwa usimpe mwanamke.

Nenda nayo ukajenge au kutimiza mahitaji yako

Katu Mwanamke hanunuliwi kwa Pesa.
Kashindwa, Musk, kashindwa Bezos, kashindwa Billgates kashindwa Dangote.

Utaweza wewe mwenzangu na mimi.

Wanaume msilazimishe kupendwa. Asiyekupenda achana naye.
Hapa ndio pana kauli nguli.

Usilazimishe kupendwa.

Isijinyonge tu. Kwani ulikabwa ?
 
Ndio maana mnafumuliwa ubongo na mtaendelea kuchapwa na akina Saidi.
Kama humpendi chukia na pesa zake.
 
Yeah anakunyemelea ukiwa na mali ukimuoa tu anaanza visa mpaka unashindws kuvumilia.

Wenye njaa sio wa tandale tu hadi New York kuna wasichana waliopinda.
 
Mkuu umenikumbusha mbali hadi nimelia
 
Kwani huwa anakula pesa yako?
Kelsea
 
🤣🤣
 
Kwanza mwanamke hawezi kuwa na mtu ambaye hatofaidika kwa chochote kutoka kwako

Kadri mazoea yangu na wanawake yalivyoongezeka na utendaji kazi wangu ukapungua [emoji24][emoji24][emoji24] siku nashituka nishachelewa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…