Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Nimependa ulivyokua composed mkuu ukiwajibu, labda utabadilisha perceptions zao, ila wengi hapa ni wanachukia wanawake tu, ishu sio pesa hata kidogo, mchukia wanawake utamjua tu, kwanza ataleta topic za kuponda wanawake, atatumia lugha chafu kwenye hio topic, akitokea mwanamke akam challenge utaona atakavyoitwa mala*ya, feminist, huwaga hawaonagi tabu kutoa mastusi ya nguoni kwa mwanamke anayewachallenge, yote hio underlaying cause ni chuki tu kwa wanawake!!!....mimi nataka ku dig deeper, labda tutakuja na solution ya kuwasaidia hawa waliokuwa confused when it comes to women, mkuu usiondoke please......

..eti mkuu mtoa mada Unpaid Seller eti chuki yako imetoka wapi??? ...kwa nini umetokea kuchukia wanawake??????

1. Mimi nahisi,Mzee wake alikua mpole sana, na mama alikua mkali, mama ndie alikuwa anasimamia miradi yote ya familia japokuwa baba ndie aliyekua na kipato zaidi ama breadwinner, mtoto akajijengea perception, women are there to take only...

2. Mama yake hakua anamuonyesha real love baba yake, yaani mama hakumuonyesha mume wake anampenda wala kumjali, na alifanya hivi wazi wazi, ndio maana mtoto hajui kama watu huwa wanaweza 'kupendana' anajua mume na mke wapo pamoja kutafuta mali tu, si ajabu 'mtoto' nae ameendeleza tradition kwa kumuoa mtu successful sio kwamba amempenda bali anajua kwamba they are there kutengeneza future kwa ku acquire mali, na sio kutengeneza a happy home...

3. ..Wanawake tusiwe wakali kupitiliza especially kwa watoto wa kiume, tunawaacha confused, inawa affect mahusiano yao yajayo na wanawake, wanakua makatili sana dhidi ya wanawake,kama tunataka kujenga jamii iliyostaarabika kila mwanamke achukue active role ya kuhakikisha mambo yake kifamilia yako balanced, mtoto i(especially wa kiume),unaweza kum discipline without being too harsh,...

4, Again kama tunataka kujenga jamii yenye upendo then tusiwaonyeshe waume zetu jeuri,au kuwaonyesha waziwazi kuwa hatuwapendi na kuwajali, hii ina send signal mbaya sana kwa watoto wa kiume...

5. Perherps mtoa mada ni zao la broken home?? unhappy marriage....?!

peace!
Anyway labda kwa kuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo.
 
Sasa na mimi nimemwambia, "wewe ndo mwanamke wa mwisho kuthaminiwa na mimi"
Akaniuliza kwa nini, nikamjibu nyinyi ni kama mbwa hamridhiki na mnachokipata
Mkuu usitukane wanawake ni wake zetu ujue na wanatupa utelezi bure
 
Habari ndiyo hiyo. Hivi punde tu nimeombwa 30. Nimemkamatisha buku 3 nilipomuacha nikamtumia text nina ukame, tunaweza kupiga miti? Hajajibu,dawa ya jeuri ni kiburi.

Aliyenifundisha hili ni dada mmoja nilimkuta anashida kubwa ya kiafya. Yule kabla hata ya kumsaidia nilikuwa nampenda sana. Nikamsaidie mambo kibao huku akijua ninampenda. Sasa kwa sababu alikuwa hayuko vizuri kiafya sikumuingizia suala la kumla ila kila kitu kilikuwa wazi maana muda mwingine tukiwa kwenye gari tunapakatana.

Yule demu alivyopona akani block bila huruma bila kosa lolote. Ofisi zipo jirani akiniona anajikausha. Siku nilipokutana naye ana kwa ana nikamwambia wewe ni mwanamke wa mwisho kuonewa huruma na mimi
Duuh au ulimfumua akiwa anaumwa bila huruma?
 
Mkuu naomba nikujibu mimi,

Kuna huyu binti ambaye nilikuwa namuhudumia kama mke wangu wa ndoa, na nilijitoa kwake kwa hali na mali, alikuwa anamleta mpaka kaka yake ili nimsaidie, ila mwisho wa siku karudiana na ex wake akamzawadia na ujauzito

Sasa mimba inampelekesha anahitaji nikamuone kwake na kanithibitishia kabisa kwamba mimba ni ya ex wake aliyerudiana nae
Na yeye mwenyewe anajua ni kiasi gani nilikuwa nampenda, na nilishamwambia zaidi ya mara tatu kuhusu kupeleka posa kwao ila amekuwa akinipiga chenga huyu nae unamiweka kundi gani?

Maana anajua kabisa mimi nilikuwa nataka kumuoa na sikuwa na nia ya kumtumia ila yeye ndo ananitumia mimi

Kifupi mambo yaliyotokea ni mengi mpaka naona wanawake wote ni mbwa tu hawaridhiki kwa wanachokipata
Mungu kakuepusha na jambo kubwa endelea kuwa mtulivu
 
Nimependa ulivyokua composed mkuu ukiwajibu, labda utabadilisha perceptions zao, ila wengi hapa ni wanachukia wanawake tu, ishu sio pesa hata kidogo, mchukia wanawake utamjua tu, kwanza ataleta topic za kuponda wanawake, atatumia lugha chafu kwenye hio topic, akitokea mwanamke akam challenge utaona atakavyoitwa mala*ya, feminist, huwaga hawaonagi tabu kutoa mastusi ya nguoni kwa mwanamke anayewachallenge, yote hio underlaying cause ni chuki tu kwa wanawake!!!....mimi nataka ku dig deeper, labda tutakuja na solution ya kuwasaidia hawa waliokuwa confused when it comes to women, mkuu usiondoke please......

..eti mkuu mtoa mada Unpaid Seller eti chuki yako imetoka wapi??? ...kwa nini umetokea kuchukia wanawake??????

1. Mimi nahisi,Mzee wake alikua mpole sana, na mama alikua mkali, mama ndie alikuwa anasimamia miradi yote ya familia japokuwa baba ndie aliyekua na kipato zaidi ama breadwinner, mtoto akajijengea perception, women are there to take only...

2. Mama yake hakua anamuonyesha real love baba yake, yaani mama hakumuonyesha mume wake anampenda wala kumjali, na alifanya hivi wazi wazi, ndio maana mtoto hajui kama watu huwa wanaweza 'kupendana' anajua mume na mke wapo pamoja kutafuta mali tu, si ajabu 'mtoto' nae ameendeleza tradition kwa kumuoa mtu successful sio kwamba amempenda bali anajua kwamba they are there kutengeneza future kwa ku acquire mali, na sio kutengeneza a happy home...

3. ..Wanawake tusiwe wakali kupitiliza especially kwa watoto wa kiume, tunawaacha confused, inawa affect mahusiano yao yajayo na wanawake, wanakua makatili sana dhidi ya wanawake,kama tunataka kujenga jamii iliyostaarabika kila mwanamke achukue active role ya kuhakikisha mambo yake kifamilia yako balanced, mtoto i(especially wa kiume),unaweza kum discipline without being too harsh,...

4, Again kama tunataka kujenga jamii yenye upendo then tusiwaonyeshe waume zetu jeuri,au kuwaonyesha waziwazi kuwa hatuwapendi na kuwajali, hii ina send signal mbaya sana kwa watoto wa kiume...

5. Perherps mtoa mada ni zao la broken home?? unhappy marriage....?!

peace!
Nakushauri pitia comment zangu kwa huyo niliyemzungumzia kwenye huu uzi,

kisha nenda pitia na comment zangu kwenye uzi wa Mshana Jr unaoitwa "mada maalumu kwa wanandoa"

Kisha fikiria mnayotufanyia wanaume kama ni mazuri,

Ninachoshukuru ni kwamba najua kujicontrol ila kinyume cha hapo sijui ingekuwaje
 
Huo mgawo ulikuwa kam wa Arithmetic progression😅😅😅
Acha kabisa, wakazi wa Karatu wengi wanamfahamu kwani amewahi kupewa vikazi hadi halmashauri ya mji.
Nilimfshamu kupitia boss wangu kwani wote ni Wadenish hadi kwake nimefika.
 
Huko Ulaya ndio kuna Gold Digger walioenda shule achana na hawa akina ashura wanataka pesa ya chipsi tu.
 
Sahihi kabisa hasa hiki kizazi cha millenia, feminism imetawala kila kona!! Idadi ya watu wanaofunga ndoa ktk nchi za ulaya na marekani inazidi kuporomoka kila kukicha . Vijana wanahofia haki zilizopitiliza wanazopewa wanawake. Divorce settlements imewaacha wanaume wengi kuwa maskini.
 
Waacheni wanawake wajiamulie mambo yao wenyewe.
Shida ya pesa sio shida ya mpenzi au ya Mume.
Mwanamke atakuitikia kama hana pesa, na wewe unazo za kumpatia.

Kumbuka anakuitikia na sio kukupenda.

Kupenda kubaki kwa mwenyewe anaye amua.
Kama kuna hela ya kuikumbuka au kudaiwa usimpe mwanamke.

Nenda nayo ukajenge au kutimiza mahitaji yako

Katu Mwanamke hanunuliwi kwa Pesa.
Kashindwa, Musk, kashindwa Bezos, kashindwa Billgates kashindwa Dangote.

Utaweza wewe mwenzangu na mimi.

Wanaume msilazimishe kupendwa. Asiyekupenda achana naye.
Hapa ndio pana kauli nguli.

Usilazimishe kupendwa.

Isijinyonge tu. Kwani ulikabwa ?
 
Waacheni wanawake wajiamulie mambo yao wenyewe.
Shida ya pesa sio shida ya mpenzi au ya Mume.
Mwanamke atakuitikia kama hana pesa, na wewe unazo za kumpatia.

Kumbuka anakuitikia na sio kukupenda.

Kupenda kubaki kwa mwenyewe anaye amua.
Kama kuna hela ya kuikumbuka au kudaiwa usimpe mwanamke.

Nenda nayo ukajenge au kutimiza mahitaji yako

Katu Mwanamke hanunuliwi kwa Pesa.
Kashindwa, Musk, kashindwa Bezos, kashindwa Dangote.

Utaweza wewe mwenzangu na mimi.

Wanaume msilazimishe kupendwa. Asiyekupenda achana naye.

Isijinyonge tu. Kwani ulikabwa ?
Ndio maana mnafumuliwa ubongo na mtaendelea kuchapwa na akina Saidi.
Kama humpendi chukia na pesa zake.
 
Sahihi kabisa hasa hiki kizazi cha millenia, feminism imetawala kila kona!! Idadi ya watu wanaofunga ndoa ktk nchi za ulaya na marekani inazidi kuporomoka kila kukicha . Vijana wanahofia haki zilizopitiliza wanazopewa wanawake. Divorce settlements imewaacha wanaume wengi kuwa maskini.
Yeah anakunyemelea ukiwa na mali ukimuoa tu anaanza visa mpaka unashindws kuvumilia.

Wenye njaa sio wa tandale tu hadi New York kuna wasichana waliopinda.
 
!!!
Siku akija pata shida utaona
Mambo...na bla blah kibao
Kwakweli wakati mwingine heri utafte tu danga
Akupe mapenzi umpe pesa
Kwishiney.... shida inakuja kwenye magonjwa[emoji20]
Mwisho wa siku unajikuta ume stay alone tu

Na aheri mtu aku reject mapema tu fresh ujue kabisa kua hanitaki kuliko kukubali afu ndio hivyo tena
[mention]Kelsea [/mention]
Wewentakulasahanimojanawewehadinijegangilonganaujeuishimbugani[emoji16]
Kwani huwa anakula pesa yako?
Kelsea
 
🤣🤣
 
Kwanza mwanamke hawezi kuwa na mtu ambaye hatofaidika kwa chochote kutoka kwako

Kadri mazoea yangu na wanawake yalivyoongezeka na utendaji kazi wangu ukapungua [emoji24][emoji24][emoji24] siku nashituka nishachelewa tayari
 
Back
Top Bottom