Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

[emoji419]
 
waambie watu huyo demu aliyemlia Saidi hela yupo wapi. kwishaaa
 
umeandika ukweli mtupu . wanawake sio watu aisee .. nimewahi kuwa kwenye mahusiano na binti flani nilimpenda na kumuhudumia mpaka kumlipia kodi

ila alichonifanyia! aligongewa humo humo ndani kwenye chumba nacholipa kodi mimi 😭 tangu siku hiyo I'm cold hearted

But we move !!
 
Ushawahi kuumizwa na mwanamke, lazima uone mawenge, ...pole we!, sipingi experiences zenu zimeashape mlivyo, nachopinga ni nyinyi kutaka kuwainfluence wengine especially vijana wa kiume humu wadogo humu kuwa wanawake ni watu wabinafsi.
 
Ushawahi kuumizwa na mwanamke, lazima uone mawenge, ...pole we!, sipingi experiences zenu zimeashape mlivyo, nachopinga ni nyinyi kutaka kuwainfluence wengine especially vijana wa kiume humu wadogo humu kuwa wanawake ni watu wabinafsi.
1. Wanaume tunapendana

2. Hatutaki na wao yawakute yaliyotukuta sisi maana vijana wa sasa wapo laini laini ni wepesi kuchukua maamuzi magumu, kujiua au kuua

Hivyo tunatoa tahadhari ili kuepusha maafa
 
1. Wanaume tunapendana

2. Hatutaki na wao yawakute yaliyotukuta sisi maana vijana wa sasa wapo laini laini ni wepesi kuchukua maamuzi magumu, kujiua au kuua

Hivyo tunatoa tahadhari ili kuepusha maafa
Sahihi kabisa kana mwanaume hajakumbana na maswahibu haya ya hivi viumbe anaweza asielewe tunalojadili ila siku likimkuta na akawa na moyo mdogo wa uvumilivu ndio utaskia kajinyonga au kammiminia mwanamke risasi saba kisha na yy kajiua
 
Wanaume matajiri leo hii ni ngumu sana kuoa wanawake maana wengi wanaojipendekeza kwao huwafata kwa ajili ya mali tu...wanajua hata wakipewa talaka hawatatoka mikono mitupu. Ndio maana unaona kina elon musk, bill gates, dangote na wengineo wameshatemana na wake zao kama wana hamu na wanawake wananunua tu wanatimiza haja zao kisha wanaendelea na mishe zao za kusaka pesa.

Wanawake ni wabinafsi , ukiwa huna pesa atademand pesa itakulazimu uzisake kwa hali yeyote umtimizie mahitaji yake ila ukishakuwa na pesa na tajiri upo busy na miradi yako bado anaanza kukupasua kichwa tena na kukuvuruga kiasi utashindwa hata kufanya kazi zako vizuri.

Fikiria upo zako kwenye mihangaiko huko ziwani baridi kali halafu anakupigia simu kuwa anatoka na rafiki zake kwenda kuangalia mechi uwanjani. Unamkataza na bado anakujibu shits kuwa anaenda utake usitake. Hapa lazima akuvuruge uache kazi zako urudi nyumbani kumzuia.Mara alalamike kuwa upo busy sana humjali yeye ilihali kila kitu anachokitaka unahangaika kumtimizia.

Hivi viumbe havina shukrani kabisa na havijulikani huwa vinataka nini. Kimsingi mwanaume jipende mwenyewe na penda pesa zako tu.
 
"Habari ndiyo hiyo. Hivi punde tu nimeombwa 30. Nimemkamatisha buku 3 nilipomuacha nikamtumia text nina ukame, tunaweza kupiga miti? Hajajibu,dawa ya jeuri ni kiburi..."[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu mmepinda, kutoka 30k mpaka 3k?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila huyo wa 2 aliku block kama jibu la kuwa " ahsante kwa kunisaidia, ila sijakupenda, sorry". Ulikosea kuchomekea mapenzi kwenye kutoa msaada. Ungesaidia kwa moyo na uende zako.

Hakukupenda na ndiyo maana aliku block. Unafikiri ungemsaidia bila kuonesha hisia naye angeku block???? Next time usirudie hili.
 
Umetema madini mazito sana hapa
 
Vema huruma ina mwisho, nimependa hitimisho lako kanyagia hapo hapo
 
Kuna wanaume wenzetu wanapitia magumu sana,wako kwenye vifungo vya mahusiano..huwaambii kitu..wanapelekeshwa hatari! Lazima tukubali zama zimebadilika sana.

Kile wanachoona kwenye social networks hawachuji..ni wajuaji balaa..! Usipotuliza akili na kutaka kushindana na "ulipotoka" hawa viumbe watakushikia sana akili..wewe utaona ni mapenzi na unapendwa..ni wajanjawajana sana..ni kuwa makini sana vinginevyo ukija kustuka ni too late.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiti kimoja how?
 
Halafu ww sister nyuzi nyingi unajikutaga sana, seems wanaume walishakufanyia yao wakalala mbele! Huwa una negativity sana kwa wanaume.

Kibaya zaidi huwa unaandika sanaa kutetea point zako ila huwa ni chuya, pumba, fifi, uozo tupuuuu.
Huyu mwanamke naapa lazimaa atakua single mother wa watoto sio pungufu ya 3 kwa baba tofauti, (hakunaga mwanaume wa kuoa jinga kama hilo) anauadui na anajadili kwa hasira sana. Na kuzalishwa na kutemwa anaona kaonewa ili hali ni matokeo ya ujuaji wake.

Wanamake kama hawa akiwa jirani yangu nauza hiyo nyumba at half the price nahama huo mkoa, unaweza kupiga hiyo mbwa risasi bure.
 
Umeandika facts, ubarikiwe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…