Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji419]Saidi alitaka kumnunua mwanamke kwa pesa yake.
Ila mwanamke hakumpenda Saidi kabisa.
Ila aliitika wito wa Saidi kwakuwa alikuwa na shida ya pesa.
Unampendaje Mwanamume anavaa shati la Kijani kila siku ?
Ni kwamba inapendwa hela tu.
Naridia, kama una hela ya mawazo usimpatie mwanamke.
Nenda kajenge.
Au niseme hivi, kama unataka kumpa pesa yako ya mawazo.
Nendeni kwa Wakili ila asaini mkataba wa kukupenda.
Mi hapa nawapa tu elimu.
Mkiendelea kuwapa pesa wanawake bila mikataba na kutaka mpendwe, wala kulipa mahali kwa Wazee wake, huyo atabaki kuwa mali ya umma.