Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Hakuna alielazimisha mapenzi, labda pia haujaelema mada vizuri, mada ni wanawake hawana shukrani hata ukimfanyia msaada ANAONA ANASTAHILI NA NI HAKI YAKE.

Kuna mwanamke hapo kwenye comment za awali kasema yeye hana ubinafsi "nimfuate" nikampe msaada. Yani kumpa msaada ni mimi nimfuate nikampe msaada serious ?!
 
Pole sana mkuu
 
Sahihi kabisa kana mwanaume hajakumbana na maswahibu haya ya hivi viumbe anaweza asielewe tunalojadili ila siku likimkuta na akawa na moyo mdogo wa uvumilivu ndio utaskia kajinyonga au kammiminia mwanamke risasi saba kisha na yy kajiua
FACT
 
Umenena vyema mkuu..

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.
 
Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.
Huwezi kujua aliyoyapitia mkuu.
Kuna wanawake humu duniani utafikiri shetani alijifunza kwao ushetani.
Ukiwa na roho ndogo unaweza kuwachukia wote.
Nimeshawahi kuonja siki ya hao viumbe mahali ambapo ulijitoa kila kila kitu ukaambulia mikuki.
 
Hahahaa nikaishia kucheka hapa nilipo, mkuu pole sana! Imebidi nikuonee huruma. Pole ila naamin Mungu ni mwema utakuwa sawa
 
Umenikumbusha ile tetesi ya yule jamaa anajita Moooooooo wa timu aliyeihama msemaji, kwamba alimufilimba hamiiii mobeeeti kwa laki moja tu
 
Hahaa umemutekenya puani ngoja atoke huko kwenye ki-saloon alikoajiriwa (kufadhiliwa ajishikize kulisha hao watoto zake) ashike simu uone atajavyokunyea fifi zake
 
Acha kabisa, wakazi wa Karatu wengi wanamfahamu kwani amewahi kupewa vikazi hadi halmashauri ya mji.
Nilimfshamu kupitia boss wangu kwani wote ni Wadenish hadi kwake nimefika.

Kama ana kiti kimoko tu anaweza kulipia hata vibali vya kuishi nchini kweli?,ama anamtega bibie aishi kimaskini ili malengo yake yakitimia anasepa zake na kibunda
 
1. Wanaume tunapendana

2. Hatutaki na wao yawakute yaliyotukuta sisi maana vijana wa sasa wapo laini laini ni wepesi kuchukua maamuzi magumu, kujiua au kuua

Hivyo tunatoa tahadhari ili kuepusha maafa
Asante mkuu hoja imepita bila kupingwa
 
NENO TAKATIFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…