Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Waacheni wanawake wajiamulie mambo yao wenyewe.
Shida ya pesa sio shida ya mpenzi au ya Mume.
Mwanamke atakuitikia kama hana pesa, na wewe unazo za kumpatia.

Kumbuka anakuitikia na sio kukupenda.

Kupenda kubaki kwa mwenyewe anaye amua.
Kama kuna hela ya kuikumbuka au kudaiwa usimpe mwanamke.

Nenda nayo ukajenge au kutimiza mahitaji yako

Katu Mwanamke hanunuliwi kwa Pesa.
Kashindwa, Musk, kashindwa Bezos, kashindwa Billgates kashindwa Dangote.

Utaweza wewe mwenzangu na mimi.

Wanaume msilazimishe kupendwa. Asiyekupenda achana naye.
Hapa ndio pana kauli nguli.

Usilazimishe kupendwa.

Isijinyonge tu. Kwani ulikabwa ?
Hakuna alielazimisha mapenzi, labda pia haujaelema mada vizuri, mada ni wanawake hawana shukrani hata ukimfanyia msaada ANAONA ANASTAHILI NA NI HAKI YAKE.

Kuna mwanamke hapo kwenye comment za awali kasema yeye hana ubinafsi "nimfuate" nikampe msaada. Yani kumpa msaada ni mimi nimfuate nikampe msaada serious ?!
 
umeandika ukweli mtupu . wanawake sio watu aisee .. nimewahi kuwa kwenye mahusiano na binti flani nilimpenda na kumuhudumia mpaka kumlipia kodi

ila alichonifanyia! aligongewa humo humo ndani kwenye chumba nacholipa kodi mimi 😭 tangu siku hiyo I'm cold hearted

But we move !!
Pole sana mkuu
 
Sahihi kabisa kana mwanaume hajakumbana na maswahibu haya ya hivi viumbe anaweza asielewe tunalojadili ila siku likimkuta na akawa na moyo mdogo wa uvumilivu ndio utaskia kajinyonga au kammiminia mwanamke risasi saba kisha na yy kajiua
FACT
 
Wanaume matajiri leo hii ni ngumu sana kuoa wanawake maana wengi wanaojipendekeza kwao huwafata kwa ajili ya mali tu...wanajua hata wakipewa talaka hawatatoka mikono mitupu. Ndio maana unaona kina elon musk, bill gates, dangote na wengineo wameshatemana na wake zao kama wana hamu na wanawake wananunua tu wanatimiza haja zao kisha wanaendelea na mishe zao za kusaka pesa.

Wanawake ni wabinafsi , ukiwa huna pesa atademand pesa itakulazimu uzisake kwa hali yeyote umtimizie mahitaji yake ila ukishakuwa na pesa na tajiri upo busy na miradi yako bado anaanza kukupasua kichwa tena na kukuvuruga kiasi utashindwa hata kufanya kazi zako vizuri.

Fikiria upo zako kwenye mihangaiko huko ziwani baridi kali halafu anakupigia simu kuwa anatoka na rafiki zake kwenda kuangalia mechi uwanjani. Unamkataza na bado anakujibu shits kuwa anaenda utake usitake. Hapa lazima akuvuruge uache kazi zako urudi nyumbani kumzuia.Mara alalamike kuwa upo busy sana humjali yeye ilihali kila kitu anachokitaka unahangaika kumtimizia.

Hivi viumbe havina shukrani kabisa na havijulikani huwa vinataka nini. Kimsingi mwanaume jipende mwenyewe na penda pesa zako tu.
Umenena vyema mkuu..

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Malengo yangu yote na ziada nimeyafikia i.e happy beautful family, fabolous residences, a bunch of asset folks would only dream of, space from negativity, life without drama, a strong connection to the system and the state house, travels, holiday functions and vocations hayo kwa uchaaaache etc etc list ndefu kama mkojo wa mlevi
Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.
 
Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.
Huwezi kujua aliyoyapitia mkuu.
Kuna wanawake humu duniani utafikiri shetani alijifunza kwao ushetani.
Ukiwa na roho ndogo unaweza kuwachukia wote.
Nimeshawahi kuonja siki ya hao viumbe mahali ambapo ulijitoa kila kila kitu ukaambulia mikuki.
 
HUnilipii bando, usinipangie cha kuandika humu mpumbavu wewe.... eti uozo, mimi na wewe nani anaandika mavi??? jichunguze sana kisha ukimaliza jiweke kwenye kundi lako, hunifikii level yangu kiakili mxiewwwwww....

Eti nina negativity kwa wanaume, kwa nyie mlio twisted lazima mnione nina negativity na wala sijali!....tutawafunda, kama hamkupelekwa jando, relationships zangu na wanaume hayakuhusu, wacha ukuda mtoto wa kiume, utavishwa shanga!.
Hahahaa nikaishia kucheka hapa nilipo, mkuu pole sana! Imebidi nikuonee huruma. Pole ila naamin Mungu ni mwema utakuwa sawa
 
Take these words. Itakusaidia sana. Kuna wakati unaona sasa itakuwaje kama sina kimwana? kuwa nacho lakino kuwa makini na pesa zako zaidi hata kama ni elfu tano.

Huwa kuna woga fulani vijana tunakuwa nao. Kwamba usipokuwa unatoa basi hawatakupenda. Sio kweli. We fanya yako. Tia maendeleo watakuja wenyewe hata kama we ni bahili. Be smart
Umenikumbusha ile tetesi ya yule jamaa anajita Moooooooo wa timu aliyeihama msemaji, kwamba alimufilimba hamiiii mobeeeti kwa laki moja tu
 
Huyu mwanamke naapa lazimaa atakua single mother wa watoto sio pungufu ya 3 kwa baba tofauti, (hakunaga mwanaume wa kuoa jinga kama hilo) anauadui na anajadili kwa hasira sana. Na kuzalishwa na kutemwa anaona kaonewa ili hali ni matokeo ya ujuaji wake.

Wanamake kama hawa akiwa jirani yangu nauza nyumba nahama huo mkoa, unaweza kupiga hiyo mbwa risasi bure.
Hahaa umemutekenya puani ngoja atoke huko kwenye ki-saloon alikoajiriwa (kufadhiliwa ajishikize kulisha hao watoto zake) ashike simu uone atajavyokunyea fifi zake
 
Acha kabisa, wakazi wa Karatu wengi wanamfahamu kwani amewahi kupewa vikazi hadi halmashauri ya mji.
Nilimfshamu kupitia boss wangu kwani wote ni Wadenish hadi kwake nimefika.

Kama ana kiti kimoko tu anaweza kulipia hata vibali vya kuishi nchini kweli?,ama anamtega bibie aishi kimaskini ili malengo yake yakitimia anasepa zake na kibunda
 
1. Wanaume tunapendana

2. Hatutaki na wao yawakute yaliyotukuta sisi maana vijana wa sasa wapo laini laini ni wepesi kuchukua maamuzi magumu, kujiua au kuua

Hivyo tunatoa tahadhari ili kuepusha maafa
Asante mkuu hoja imepita bila kupingwa
 
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
NENO TAKATIFU
 
Back
Top Bottom