Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitisha mkuuSasa na mimi nimemwambia, "wewe ndo mwanamke wa mwisho kuthaminiwa na mimi"
Akaniuliza kwa nini, nikamjibu nyinyi ni kama mbwa hamridhiki na mnachokipata
Hakuna alielazimisha mapenzi, labda pia haujaelema mada vizuri, mada ni wanawake hawana shukrani hata ukimfanyia msaada ANAONA ANASTAHILI NA NI HAKI YAKE.Waacheni wanawake wajiamulie mambo yao wenyewe.
Shida ya pesa sio shida ya mpenzi au ya Mume.
Mwanamke atakuitikia kama hana pesa, na wewe unazo za kumpatia.
Kumbuka anakuitikia na sio kukupenda.
Kupenda kubaki kwa mwenyewe anaye amua.
Kama kuna hela ya kuikumbuka au kudaiwa usimpe mwanamke.
Nenda nayo ukajenge au kutimiza mahitaji yako
Katu Mwanamke hanunuliwi kwa Pesa.
Kashindwa, Musk, kashindwa Bezos, kashindwa Billgates kashindwa Dangote.
Utaweza wewe mwenzangu na mimi.
Wanaume msilazimishe kupendwa. Asiyekupenda achana naye.
Hapa ndio pana kauli nguli.
Usilazimishe kupendwa.
Isijinyonge tu. Kwani ulikabwa ?
Pole sana mkuuumeandika ukweli mtupu . wanawake sio watu aisee .. nimewahi kuwa kwenye mahusiano na binti flani nilimpenda na kumuhudumia mpaka kumlipia kodi
ila alichonifanyia! aligongewa humo humo ndani kwenye chumba nacholipa kodi mimi 😭 tangu siku hiyo I'm cold hearted
But we move !!
Pole mkuu, chukua hatua yasijirudie mbeleni.Mkuu umenikumbusha mbali hadi nimelia
FACTSahihi kabisa kana mwanaume hajakumbana na maswahibu haya ya hivi viumbe anaweza asielewe tunalojadili ila siku likimkuta na akawa na moyo mdogo wa uvumilivu ndio utaskia kajinyonga au kammiminia mwanamke risasi saba kisha na yy kajiua
Umenena vyema mkuu..Wanaume matajiri leo hii ni ngumu sana kuoa wanawake maana wengi wanaojipendekeza kwao huwafata kwa ajili ya mali tu...wanajua hata wakipewa talaka hawatatoka mikono mitupu. Ndio maana unaona kina elon musk, bill gates, dangote na wengineo wameshatemana na wake zao kama wana hamu na wanawake wananunua tu wanatimiza haja zao kisha wanaendelea na mishe zao za kusaka pesa.
Wanawake ni wabinafsi , ukiwa huna pesa atademand pesa itakulazimu uzisake kwa hali yeyote umtimizie mahitaji yake ila ukishakuwa na pesa na tajiri upo busy na miradi yako bado anaanza kukupasua kichwa tena na kukuvuruga kiasi utashindwa hata kufanya kazi zako vizuri.
Fikiria upo zako kwenye mihangaiko huko ziwani baridi kali halafu anakupigia simu kuwa anatoka na rafiki zake kwenda kuangalia mechi uwanjani. Unamkataza na bado anakujibu shits kuwa anaenda utake usitake. Hapa lazima akuvuruge uache kazi zako urudi nyumbani kumzuia.Mara alalamike kuwa upo busy sana humjali yeye ilihali kila kitu anachokitaka unahangaika kumtimizia.
Hivi viumbe havina shukrani kabisa na havijulikani huwa vinataka nini. Kimsingi mwanaume jipende mwenyewe na penda pesa zako tu.
Humo ndani mwake ana miliki kiti kimoja cha ngozi yaani hakuna kingine sijui sofa au nini no[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiti kimoja how?
Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.Malengo yangu yote na ziada nimeyafikia i.e happy beautful family, fabolous residences, a bunch of asset folks would only dream of, space from negativity, life without drama, a strong connection to the system and the state house, travels, holiday functions and vocations hayo kwa uchaaaache etc etc list ndefu kama mkojo wa mlevi
Huwezi kujua aliyoyapitia mkuu.Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.
Yaaaa,mkuu nakuelewa,somewomen think sex ni favour au kitu cha thamani mno kukifikia,kumbe nizao laupendoinategemea mazingira uliyokulia ila sex sio favor, ni zao la upendo.
Hahahaa nikaishia kucheka hapa nilipo, mkuu pole sana! Imebidi nikuonee huruma. Pole ila naamin Mungu ni mwema utakuwa sawaHUnilipii bando, usinipangie cha kuandika humu mpumbavu wewe.... eti uozo, mimi na wewe nani anaandika mavi??? jichunguze sana kisha ukimaliza jiweke kwenye kundi lako, hunifikii level yangu kiakili mxiewwwwww....
Eti nina negativity kwa wanaume, kwa nyie mlio twisted lazima mnione nina negativity na wala sijali!....tutawafunda, kama hamkupelekwa jando, relationships zangu na wanaume hayakuhusu, wacha ukuda mtoto wa kiume, utavishwa shanga!.
Umenikumbusha ile tetesi ya yule jamaa anajita Moooooooo wa timu aliyeihama msemaji, kwamba alimufilimba hamiiii mobeeeti kwa laki moja tuTake these words. Itakusaidia sana. Kuna wakati unaona sasa itakuwaje kama sina kimwana? kuwa nacho lakino kuwa makini na pesa zako zaidi hata kama ni elfu tano.
Huwa kuna woga fulani vijana tunakuwa nao. Kwamba usipokuwa unatoa basi hawatakupenda. Sio kweli. We fanya yako. Tia maendeleo watakuja wenyewe hata kama we ni bahili. Be smart
Nyinyi upande wenu imekuaje mpo mchanganyikoYaani we acha tu.
Hahaa umemutekenya puani ngoja atoke huko kwenye ki-saloon alikoajiriwa (kufadhiliwa ajishikize kulisha hao watoto zake) ashike simu uone atajavyokunyea fifi zakeHuyu mwanamke naapa lazimaa atakua single mother wa watoto sio pungufu ya 3 kwa baba tofauti, (hakunaga mwanaume wa kuoa jinga kama hilo) anauadui na anajadili kwa hasira sana. Na kuzalishwa na kutemwa anaona kaonewa ili hali ni matokeo ya ujuaji wake.
Wanamake kama hawa akiwa jirani yangu nauza nyumba nahama huo mkoa, unaweza kupiga hiyo mbwa risasi bure.
Anaeamua kushika mimba ni mwanamke mkuu
Wew ukiamua ikiwa hajataka utafanyaje?
Acha kabisa, wakazi wa Karatu wengi wanamfahamu kwani amewahi kupewa vikazi hadi halmashauri ya mji.
Nilimfshamu kupitia boss wangu kwani wote ni Wadenish hadi kwake nimefika.
Asante mkuu hoja imepita bila kupingwa1. Wanaume tunapendana
2. Hatutaki na wao yawakute yaliyotukuta sisi maana vijana wa sasa wapo laini laini ni wepesi kuchukua maamuzi magumu, kujiua au kuua
Hivyo tunatoa tahadhari ili kuepusha maafa
NENO TAKATIFUWakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari.
Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.
They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.
Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.
Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.
Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)
Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.