Profesa Mgala
Member
- Oct 31, 2018
- 49
- 51
Wanawake hampendani hata nyie mnakiri hivyo.Eti maafa yapi hayo??? embu yataje???
Yaani muwa influence vijana wa kiume kuwa wanawake ni wabinafsi kisa tu mna experiences mbaya na wanawake mmeumizwa, halafu sisi tuwaangalie tu??? no way, hata sisi wanawake tunapendana sana tu..hatutakubali nyie mliioumizwa mjenge negative image kuhusu sisi!
Tunapendana sana tu, mkitoa influence yenu wanaume sisis ni watu wenye upendo sana sababu tumejaliwa huruma, sasa upendo haunaga kikomo, eti usimpende mwanamke mwenzio..why?Wanawake hampendani hata nyie mnakiri hivyo.
...nani huyo????...interested to know...Kuna single maza mmoja kakomalia mada
Mbona imewezekana arif. Na zaidi ya 90% ya cycle ya watu wangu wa karibu wana mind set exactly kama yangu na sikuwahi kuwahubiri imetokea tu, kila mmoja yupo hivyo.Huwezi ukafanikiwa kiasi hiki halafu ukawa na roho hiyo. Issue sio kusaidia Bali roho , ukiwa na roho yenye kutu kila Jambo kwako ni kubwa.
jamaa ananifanyia ubabe sana na nilimsaidia kirafiki kabisa. na hawa watu ambao wanashambulia sana hapa ni watu ambao wanataka kila mwanamke ndomana utasikia anasema nilimpa huyu mara yule na bahati mbaya ni kwamba watu kama hawa mara zote wanaangukia kwenye mikono ya makahaba na wadangaji...Kwanza wanaume hawana huruma, anaweza akala hela yako na arrogantly asikupe...
Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.Kwanza wanaume hawana huruma, anaweza akala hela yako na arrogantly asikupe...
Wanawake Kwa wanawake huwa hampendani.Huo upendo unao usemea ni ule upendo wa kinafiki.Tunapendana sana tu, mkitoa influence yenu wanaume sisis ni watu wenye upendo sana sababu tumejaliwa huruma, sasa upendo haunaga kikomo, eti usimpende mwanamke mwenzio..why?
hahhahah 90% ya cycle yako ni watu wenye mindset kama yako...ofcourse lazima birds of the same feathers.....?!...Mbona imewezekana arif. Na zaidi ya 90% ya cycle ya watu wangu wa karibu wana mind set exactly kama yangu na sikuwahi kuwahubiri imetokea tu, kila mmoja yupo hivyo.
Fanya utafiti wako wanaume wote wanaofanya vema katika maisha hawana shobo za kishamba na ke. Nitoe mifano michache kwa unaowafahamu mtazame Alikiba, Samata kama wana shobo na ke.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ni utaratibu tu ila jeneza linawezwa burutwa tu na ukafukiwa vizuri tuOnea Huruma wanaume wenzako Mademu hawatabeba hata Jeneza lako
Sijui kama umenielewa nilivyosema ukitoa influence ya wanaume, sisi ni watu wenye upendo???? unless u expand kwa nini unasema hatupendani???? ..... eti upendo wa mwanamke ni wa kinafiki??? mkuu umeshawahi kuumizwa na mwanamke na wewe nini?Wanawake Kwa wanawake huwa hampendani.Huo upendo unao usemea ni ule upendo wa kinafiki.
Upendo wa mwanamke ni WA kinafiki.Mwanamke Hana upendo wa kweli.Ana upendo wa kweli Kwa mtoto wake tuu.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ni utaratibu tu ila jeneza linawezwa burutwa tu na ukafukiwa vizuri tu
Aiseee...nani huyo????...interested to know...
Mkuu paragraph yako ya mwisho inaujazo wa maudhuri ya dhamira yangu kuandika uzi huu. In short umeweka msumari wa mwisho kwenye jeneza.Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.
Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.
Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.
Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.
jamaa ananifanyia ubabe sana na nilimsaidia kirafiki kabisa. na hawa watu ambao wanashambulia sana hapa ni watu ambao wanataka kila mwanamke ndomana utasikia anasema nilimpa huyu mara yule na bahati mbaya ni kwamba watu kama hawa mara zote wanaangukia kwenye mikono ya makahaba na wadangaji...
Ongea, its a free world.Aiseee