The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
- Thread starter
- #681
tu l'as dit mieux que moi. Mkuu umelisema bora zaidi ya ambavyo ningesema. "Hata jeneza hawata beba"Onea Huruma wanaume wenzako Mademu hawatabeba hata Jeneza lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tu l'as dit mieux que moi. Mkuu umelisema bora zaidi ya ambavyo ningesema. "Hata jeneza hawata beba"Onea Huruma wanaume wenzako Mademu hawatabeba hata Jeneza lako
Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.
Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.
Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.
Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.
Kabisaa.Taikon anakwambia Wanawake Wana roho za kishetani ndo maana hata majini yanawapenda wao na bustan ya Eden shetani aliongea na mwanamke. Wakati mwanaume ana roho ya Mungu ndo maana inasadikika kuwa jinsia ya Mungu ni ya kiume na mwanaume huyohuyo ndiye mwenye jukumu la kutoa,kuongoza nk.Onea Huruma wanaume wenzako Mademu hawatabeba hata Jeneza lako
Nakuja huko nikute samakiCheka tu[emoji16][emoji16]
Iwe fundisho kwako mkuu, tunahitaji ubaki na furaha na amani ya moyo wako maisha ni matamu haipaswi kumiss kua na furaha. Be smartDuh hiyoo naijua kuna wadau wangu kama wanne imeshawatokea
Iko hivyoo...Pole sana kama unaona hizo topics ndizo unazozipenda humu, jifanyie sana uchunguzi kwa nini unapenda hizo topics??? au chunguza ..'profile' za wanaoandika mada kama hizo...you will learn something...very interesting...
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna single maza mmoja kakomalia mada
[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.
Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.
Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.
Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.
eti iko hivyo...yaani neno lako imekua ni sheria...?Iko hivyoo...
Anguko kubwa la wanaume ni wanawake.
Hata kwenye three "W"wanawake pia wamo.
Wewe haujiulizii??? Sijui unacho tetea ni nini.
Mungu kamuumba mwanamke kama mfano wa SHETANI Ingali Mwanaume kama mfano wa MUNGU
😅😅😅sawaofcourse yes kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo, feel free kuanidika chochote mkuu...
Wanawake ni wanafiki.Hata haya unayo yasema ni ya kinafiki Kwa sababu ya kuwa mwanamke ana sahau mapema mno kupita maelezo.Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
we jamaa😅😅Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.
Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.
Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.
Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.
sasa hapo jamaa ndo amepotea sababu Bora angeowa mmoja alafu aone kama atatedwa tena kubadilisha sana ni mbaya zaidi. magojwa anapoteza muda pia pesa na pia ataishi kama mbwa hana familia sababu tu ya kosa la kujichanganya kwa malaya..Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa naishi naye jirani,alikuwa akiwabadilisha wanawake kama nguo,alikuwa hakai nao ni kupitia once na kuacha,haijalishi ni mzuri au mbaya,alikuwa anawafanyia kile anachojisikia kukifanya akiwa nao,ni kama alikuwa anakomoa flani hivi na kwakuwa tulikuwa mabest alikuwa akinisimulia.Siku moja katika mazungumzo yetu akanisimulia,miaka kadhaa ya nyuma huko kabla hajahamia pale aliwahi kuwa na mwamamke alimpenda sana na kumgharamia mpk kodi ya chumba,siku moja aliamua kumtokea usiku mkubwa kama saa 7 hivi,alipogonga mwanamke hakufungua,akasubiria nje mpk asubuhi,kufika asubuhi njemba inatoka ndani,kufupisha ni kuwa mapenzi yaliisha na akasema kuwa sitakaa nipende mwanamke kijinga tena.Sasa kama watendwa ni wengi kiasi hiki,sidhani kama wanawake watabaki salama...
Mama yake ana hekima sana.[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...
Unayo yaona ni machache kuliko usiyo yaona mkuu.Kuna mengii Usione mtu/ watu wanacheka Ukidhani wamefurahi/ wanafuraha.Kuna mengi usiyo yajua tofauti na hiyo furaha unayo iona kwao.[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...
😅😅😅vitu vinawakost wanaume ni kuoa na kuacha. It is very costifulsasa hapo jamaa ndo amepotea sababu Bora angeowa mmoja alafu aone kama atatedwa tena kubadilisha sana ni mbaya zaidi. magojwa anapoteza muda pia pesa na pia ataishi kama mbwa hana familia sababu tu ya kosa la kujichanganya kwa malaya..
Upendo hakuna??? 😳Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Hongera kua kati ya 1% japo jambo moja dhahiri. YOU ARE STILL A TAKER. Nyoka hazai kifaranga wala mtende hautoi karanga. Deep down you are a taker hata kama unajizuia (japo hongera kwa kujitahidi kudhibiti ubinafsi lakini hauwezi kwenda against nature)Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.