Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.

Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.

Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.

Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.

Pole sana kama unaona hizo topics ndizo unazozipenda humu, jifanyie sana uchunguzi kwa nini unapenda hizo topics??? au chunguza ..'profile' za wanaoandika mada kama hizo...you will learn something...very interesting...
 
Onea Huruma wanaume wenzako Mademu hawatabeba hata Jeneza lako
Kabisaa.Taikon anakwambia Wanawake Wana roho za kishetani ndo maana hata majini yanawapenda wao na bustan ya Eden shetani aliongea na mwanamke. Wakati mwanaume ana roho ya Mungu ndo maana inasadikika kuwa jinsia ya Mungu ni ya kiume na mwanaume huyohuyo ndiye mwenye jukumu la kutoa,kuongoza nk.
 
Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
 
Pole sana kama unaona hizo topics ndizo unazozipenda humu, jifanyie sana uchunguzi kwa nini unapenda hizo topics??? au chunguza ..'profile' za wanaoandika mada kama hizo...you will learn something...very interesting...
Iko hivyoo...

Anguko kubwa la wanaume ni wanawake.

Hata kwenye three "W"wanawake pia wamo.

Wewe haujiulizii??? Sijui unacho tetea ni nini.

Mungu kamuumba mwanamke kama mfano wa SHETANI Ingali Mwanaume kama mfano wa MUNGU
 
Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa naishi naye jirani,alikuwa akiwabadilisha wanawake kama nguo,alikuwa hakai nao ni kupitia once na kuacha,haijalishi ni mzuri au mbaya,alikuwa anawafanyia kile anachojisikia kukifanya akiwa nao,ni kama alikuwa anakomoa flani hivi na kwakuwa tulikuwa mabest alikuwa akinisimulia.Siku moja katika mazungumzo yetu akanisimulia,miaka kadhaa ya nyuma huko kabla hajahamia pale aliwahi kuwa na mwamamke alimpenda sana na kumgharamia mpk kodi ya chumba,siku moja aliamua kumtokea usiku mkubwa kama saa 7 hivi,alipogonga mwanamke hakufungua,akasubiria nje mpk asubuhi,kufika asubuhi njemba inatoka ndani,kufupisha ni kuwa mapenzi yaliisha na akasema kuwa sitakaa nipende mwanamke kijinga tena.Sasa kama wanaume wanaotendwa ni wengi kiasi hiki,sidhani kama wanawake watabaki salama...
 
Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.

Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.

Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.

Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.
[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...
 
Iko hivyoo...

Anguko kubwa la wanaume ni wanawake.

Hata kwenye three "W"wanawake pia wamo.

Wewe haujiulizii??? Sijui unacho tetea ni nini.

Mungu kamuumba mwanamke kama mfano wa SHETANI Ingali Mwanaume kama mfano wa MUNGU
eti iko hivyo...yaani neno lako imekua ni sheria...?

Hamjaonyesha anguko la mwanaume sababu ni mwanamke...

Nachotetea mimi ni nyinyi mlioumizwa kuja kutema 'sumu' humu...kufanya vijana wadogo watuone wanawake ni mazimwi!

Eti Mungu kaumba mwanamke mfano wa shetani, wewe una matatizo sio bure!
 
Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Wanawake ni wanafiki.Hata haya unayo yasema ni ya kinafiki Kwa sababu ya kuwa mwanamke ana sahau mapema mno kupita maelezo.

Wanawake wengi wanatoa kauli za kama ningekuwa mwanaume angefanya kitu flani flani na flani.

Mara chache kukuta mwanaume anatoa kauli ya kama angekuwa mwanamke.Huyo mwanaume anaye toa kauli hiyo. Atakuwa na shida flani.
 
Wanaume wameumbwa kuwa na huruma. Ndo maana anaweza kujinyima yeye,Akakupa wewe mwanamke.

Wanawake ndiyo hamna huruma.Mtu ana weza kukusomesha mpaka kukutafutia na kazi bado ukamtosa.Hata Ile akili ya kurudi nyuma kufikiria kuwa mtu kakusaidia.Hamna.

Na wanaume walisha jua hilo kuhusu wanaume. Wanaume mapoyoyo ndiyo walio baki wakiwa hawajui kuhusu hilo.

Kampeni ni USIMUONEE HURUMA MWANAMKE,MWANAMKE HANA MAPENZI YA KWELI KWA MWANAUME,NDOA NI FAIDA KWA MWANAMKE ADHABU KWA MWANAUME, USIMSAIDIE WALA KUMJARI MWANAMKE BALI JISAIDIE WEWE,WANAWAKE WANA RIHO YA KISHETANI. Hizo zote ni thread ambazo ziko humu jf.
we jamaa😅😅
 
Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa naishi naye jirani,alikuwa akiwabadilisha wanawake kama nguo,alikuwa hakai nao ni kupitia once na kuacha,haijalishi ni mzuri au mbaya,alikuwa anawafanyia kile anachojisikia kukifanya akiwa nao,ni kama alikuwa anakomoa flani hivi na kwakuwa tulikuwa mabest alikuwa akinisimulia.Siku moja katika mazungumzo yetu akanisimulia,miaka kadhaa ya nyuma huko kabla hajahamia pale aliwahi kuwa na mwamamke alimpenda sana na kumgharamia mpk kodi ya chumba,siku moja aliamua kumtokea usiku mkubwa kama saa 7 hivi,alipogonga mwanamke hakufungua,akasubiria nje mpk asubuhi,kufika asubuhi njemba inatoka ndani,kufupisha ni kuwa mapenzi yaliisha na akasema kuwa sitakaa nipende mwanamke kijinga tena.Sasa kama watendwa ni wengi kiasi hiki,sidhani kama wanawake watabaki salama...
sasa hapo jamaa ndo amepotea sababu Bora angeowa mmoja alafu aone kama atatedwa tena kubadilisha sana ni mbaya zaidi. magojwa anapoteza muda pia pesa na pia ataishi kama mbwa hana familia sababu tu ya kosa la kujichanganya kwa malaya..
 
[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...
Mama yake ana hekima sana.
 
Unayo yaona ni machache kuliko usiyo yaona mkuu.Kuna mengii Usione mtu/ watu wanacheka Ukidhani wamefurahi/ wanafuraha.Kuna mengi usiyo yajua tofauti na hiyo furaha unayo iona kwao.

Moyo wa mtu kichaka
 
sasa hapo jamaa ndo amepotea sababu Bora angeowa mmoja alafu aone kama atatedwa tena kubadilisha sana ni mbaya zaidi. magojwa anapoteza muda pia pesa na pia ataishi kama mbwa hana familia sababu tu ya kosa la kujichanganya kwa malaya..
😅😅😅vitu vinawakost wanaume ni kuoa na kuacha. It is very costiful
 
Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Upendo hakuna??? 😳
 
Hongera kua kati ya 1% japo jambo moja dhahiri. YOU ARE STILL A TAKER. Nyoka hazai kifaranga wala mtende hautoi karanga. Deep down you are a taker hata kama unajizuia (japo hongera kwa kujitahidi kudhibiti ubinafsi lakini hauwezi kwenda against nature)

Na hata kama hauombi hela kwa sana (kuna sehemu umekiri kuomba hela kwa watu ndugu) ila unaomba favours endlessly huko kazini nisaidie hiki nisaidie kile, huko chuo umefanyiwa sana assignments and you walked away unthankful (japo hauta admtit) takers are takers ila in all hongera kwa kudhibit udhaifu ulio ndani yako mkuu
 
Back
Top Bottom