Profesa Mgala
Member
- Oct 31, 2018
- 49
- 51
Umeandika Kweli Tupu . wanawake sio hawana shukurani aisee .. nimewahi kuwa kwenye mahusiano na binti kutoka Njombe, Since advance Mpaka Chuo Nikajua Naoa Kabisa Na Niliwekeza Vingi Mpak Nimezaa Naye Mtoto Mmoja nilimpenda na kumuhudumia mpaka kumlipia ada Ila Nilivyofulia Aliniacha Na Kuolewa Kwingine. Mungu so Athumani Kaolewa Leo Kesho Napata Ajira sijui yuko wapi now mamaaake[emoji2][emoji2][emoji2]