Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Mwanamke anapenda mwanaume atakaye mpelekesha. Mwanamke akiona ka feli.Ndo hapo limbwata linapo pikwa au kutafutwa.

Mwanaume kupelekeshwa na mwanamke hiyo siyo heshima.
huwezi kuwa sahihi kwenye kila kitu wakati mwingine unahitaji ushauri kutoka kwa mtu wa karibu mke..

mkuu kwani hujiamini?
 
Hatujui waliongea nini pale EDENI na shetani maana mengi ni siri yao, kumwonea huruma mwanamke ni sawa na kumwonea huruma shetani
Yote yalikwisha pale msalabani, dhambi zetu zote zilifutwa!, inaelekea wanaume mna kinyongo kisa shetani alitulaghai...🤣🤣🤣🤣😡,...
 
Mbaya zaidi mambo yako yakirudi nyuma, mwanamke huyohuyo atakudharau na kukwambia ameendekeza umalaya na kujifanya una roho nzuri kutaka kusaidia kila mtu
Siyo kukwambia tuu...Atakukimbia na kuolewa na mwanaume mwingine.Mambo yakibadirika kulee na huku kwako yakawa fresh.
Bila aibu,anarudi kuomba msamaha muwe kama zamani.
 
Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
hahaah unadhani kila mtu amekua shaped na experiences mbaya kama nyie???, there are still good men outhere, kama jinsi ilivyo kuna still good women outhere,si kweli kuwa wanawake wote na wabinafsi kama mnavyotaka kuaminisha watu kwenye uzi huu.... jifunze sana kwa watu aina ya prumpeti ...... 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 kama unataka kuishi ndoa ya amani na mkeo!!
 
Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
mkuu umeendekeza ngono sana ndomana dada powa wamekupora courage ya umwanaume..

sifa ya mwanaume ni kujiamini..mi siwezi kutongoza mwanamke hapa..
 
Eti mwanamke anapenda mwanaume atakayempelekesha??? wewe mama yako alimpelekesha baba yako kwani??...

je alikua successful kumpelekesha? au na yeye alitumia limbwata (kama lipo)????,

Mwanaume anapelekeshwaje na mwanamke...???? 😳 how old are you mkuu???
Polee sana.Hata hujui kupelekeshwa kukoje.Hapo ndo unadhihilisha wewe ni single mother.
 
Polee sana.Hata hujui kupelekeshwa kukoje.Hapo ndo unadhihilisha wewe ni single mother.
wewe ndio nikupe pole, una andika vitu vya kusadikika sana, mbaya zaidi ukielezwa vitu na 'mwanamke' huelewi,...
 
[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...
Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima
 
huwezi kuwa sahihi kwenye kila kitu wakati mwingine unahitaji ushauri kutoka kwa mtu wa karibu mke..

mkuu kwani hujiamini?
Na ndo maana ikapointiwa kuwa Mwanaume ni kiongozi.Mwanamke ni msaidizi tu.

Nenda kaoe,utaelewa
 
Huu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.

Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.

Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.

Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .

Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.

Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.

Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.

Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.

Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.

Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.

Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.
mselaaaaa kaja kuchukua mzigo mlqngoni hata kukinukisha umeshindwa
 
Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Sio kwamba ni wanawake wote wako hivyo hapana,wako wachache sana wanaojali.
Hatujakataa kumpa au kumsaidia mwanamke bali kule kujitoa kwetu sisi tumelipwa mabaya.
Wanaume wengi sana wanalalamika kuumizwa kwa namna moja au nyingine na mwanamke ambaye amejitoa kwake kwa moyo mmoja.

Wengi wa wanawake wanapofikia wakati wa kumuumiza mwanaume huwa hana huruma, wala hamuangalii usoni wala hakumbuki hata kumuomba samahani.

Unaweza ukawa wewe hauombi chochote kutoka kwa mwanaume lakini kuna namna umewahi kumuumiza mwanaume na ndio chanzo cha posti na maoni na mada kama hizi
 
Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima
Nonsense!

hawa wanawake wa sasa wako wired differently????

Au wametoka Mars na sio product ya wamama hao hao wa zamani???
 
Na ndo maana ikapointiwa kuwa Mwanaume ni kiongozi.Mwanamke ni msaidizi tu.

Nenda kaoe,utaelewa
Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...

Wewe hujaoa, usitudanganye humu, bado mdogo sana kuoa.
 
wewe ndio nikupe pole, una andika vitu vya kusadikika sana, mbaya zaidi ukielezwa vitu na 'mwanamke' huelewi,...
Vitu vya kusadikika ni vipi hivyo nilivyo andika?

Nakupa polee sana.Unasoma comment Kwa kukurupukaa sana.Relax
 
Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...

Wewe hujaoa, usitudanganye humu, bado mdogo sana kuoa.
Huelewi Mkuu. Hujaona nilipo andika msaidizi.Wapi nimesema asisikilizwe?? Acha kukurupukaa.
 
Baaaasii kaenjoy kuambiwa ni husband material. Na vijiemoji vya kuchekacheka.[emoji16] na kumalizia kuwa hajaoa bado.
i can totally understand you kawaweka au kawaonyesha how a man should behave...mmepatwa na wivu hahahaa... ni kweli he is husband material, otherwise onyesheni sio, halafu tuwaonyesheni ndio...
 
Hapo zamani za kale kwa kutumia ID yangu flani hivi niliandika uzi flani hivi mijanajike miwili ya humu akiwemo huyu Rebeca 83 yakaanza kunisagia kunguni. After about 6 months nkamrudia lile janajike jenzake nkaliweka sawa mpaka likaingia king. Kilichofuata ni historia. Piga sana mbupu maeneo mbalimbali ya jijini. Then nkalifukuzilia mbali. Alikuwa na njaa sana shenzi yule. Muanzisha uzi umeandika jambo kubwa sana Leo.
 
Vitu vya kusadikika ni vipi hivyo nilivyo andika?

Nakupa polee sana.
Umeandika majini...

Umeandika limbwata...

Umeandika shetani...

Umeandika kuhusu Mungu kuwaambia nyinyi kukaa na sisi kimachale......

Hujitambui!
 
Back
Top Bottom