Naona kijana umelainishwa nawe umekubali[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijaowa bado..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kijana umelainishwa nawe umekubali[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijaowa bado..
huwezi kuwa sahihi kwenye kila kitu wakati mwingine unahitaji ushauri kutoka kwa mtu wa karibu mke..Mwanamke anapenda mwanaume atakaye mpelekesha. Mwanamke akiona ka feli.Ndo hapo limbwata linapo pikwa au kutafutwa.
Mwanaume kupelekeshwa na mwanamke hiyo siyo heshima.
Yote yalikwisha pale msalabani, dhambi zetu zote zilifutwa!, inaelekea wanaume mna kinyongo kisa shetani alitulaghai...🤣🤣🤣🤣😡,...Hatujui waliongea nini pale EDENI na shetani maana mengi ni siri yao, kumwonea huruma mwanamke ni sawa na kumwonea huruma shetani
Siyo kukwambia tuu...Atakukimbia na kuolewa na mwanaume mwingine.Mambo yakibadirika kulee na huku kwako yakawa fresh.Mbaya zaidi mambo yako yakirudi nyuma, mwanamke huyohuyo atakudharau na kukwambia ameendekeza umalaya na kujifanya una roho nzuri kutaka kusaidia kila mtu
hahaah unadhani kila mtu amekua shaped na experiences mbaya kama nyie???, there are still good men outhere, kama jinsi ilivyo kuna still good women outhere,si kweli kuwa wanawake wote na wabinafsi kama mnavyotaka kuaminisha watu kwenye uzi huu.... jifunze sana kwa watu aina ya prumpeti ...... 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 kama unataka kuishi ndoa ya amani na mkeo!!Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
mkuu umeendekeza ngono sana ndomana dada powa wamekupora courage ya umwanaume..Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
Polee sana.Hata hujui kupelekeshwa kukoje.Hapo ndo unadhihilisha wewe ni single mother.Eti mwanamke anapenda mwanaume atakayempelekesha??? wewe mama yako alimpelekesha baba yako kwani??...
je alikua successful kumpelekesha? au na yeye alitumia limbwata (kama lipo)????,
Mwanaume anapelekeshwaje na mwanamke...???? 😳 how old are you mkuu???
wewe ndio nikupe pole, una andika vitu vya kusadikika sana, mbaya zaidi ukielezwa vitu na 'mwanamke' huelewi,...Polee sana.Hata hujui kupelekeshwa kukoje.Hapo ndo unadhihilisha wewe ni single mother.
Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima[emoji16][emoji16][emoji16]asee naumia sana nikioana hii vile mamayangu anaishi powa na mshua japo miaka ya nyuma nikiwa mdogo niliwahi kuona mzee amezingua ma marungu sababu tu mama alikataa moja ya nyumba isiuzwe lakini leo mama amekuwa msaada sana kwa mzee kuendelea kuongeza hata mwaka mmoja wa kuishi naamini mapenzi yapo. ni wewe mwenyewe kumchagua wako kwa busara na kuishinae kwa upendo na nidhamu...
Na ndo maana ikapointiwa kuwa Mwanaume ni kiongozi.Mwanamke ni msaidizi tu.huwezi kuwa sahihi kwenye kila kitu wakati mwingine unahitaji ushauri kutoka kwa mtu wa karibu mke..
mkuu kwani hujiamini?
mselaaaaa kaja kuchukua mzigo mlqngoni hata kukinukisha umeshindwaHuu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.
Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.
Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.
Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .
Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.
Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.
Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.
Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.
Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.
Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.
Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.
Sio kwamba ni wanawake wote wako hivyo hapana,wako wachache sana wanaojali.Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Nonsense!Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima
Baaaasii kaenjoy kuambiwa ni husband material. Na vijiemoji vya kuchekacheka.[emoji16] na kumalizia kuwa hajaoa bado.Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...Na ndo maana ikapointiwa kuwa Mwanaume ni kiongozi.Mwanamke ni msaidizi tu.
Nenda kaoe,utaelewa
Vitu vya kusadikika ni vipi hivyo nilivyo andika?wewe ndio nikupe pole, una andika vitu vya kusadikika sana, mbaya zaidi ukielezwa vitu na 'mwanamke' huelewi,...
Huelewi Mkuu. Hujaona nilipo andika msaidizi.Wapi nimesema asisikilizwe?? Acha kukurupukaa.Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...
Wewe hujaoa, usitudanganye humu, bado mdogo sana kuoa.
i can totally understand you kawaweka au kawaonyesha how a man should behave...mmepatwa na wivu hahahaa... ni kweli he is husband material, otherwise onyesheni sio, halafu tuwaonyesheni ndio...Baaaasii kaenjoy kuambiwa ni husband material. Na vijiemoji vya kuchekacheka.[emoji16] na kumalizia kuwa hajaoa bado.
Umeandika majini...Vitu vya kusadikika ni vipi hivyo nilivyo andika?
Nakupa polee sana.