Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Mwanamke anapenda mwanaume atakaye mpelekesha. Mwanamke akiona ka feli.Ndo hapo limbwata linapo pikwa au kutafutwa.

Mwanaume kupelekeshwa na mwanamke hiyo siyo heshima.
huwezi kuwa sahihi kwenye kila kitu wakati mwingine unahitaji ushauri kutoka kwa mtu wa karibu mke..

mkuu kwani hujiamini?
 
Hatujui waliongea nini pale EDENI na shetani maana mengi ni siri yao, kumwonea huruma mwanamke ni sawa na kumwonea huruma shetani
Yote yalikwisha pale msalabani, dhambi zetu zote zilifutwa!, inaelekea wanaume mna kinyongo kisa shetani alitulaghai...🤣🤣🤣🤣😡,...
 
Mbaya zaidi mambo yako yakirudi nyuma, mwanamke huyohuyo atakudharau na kukwambia ameendekeza umalaya na kujifanya una roho nzuri kutaka kusaidia kila mtu
Siyo kukwambia tuu...Atakukimbia na kuolewa na mwanaume mwingine.Mambo yakibadirika kulee na huku kwako yakawa fresh.
Bila aibu,anarudi kuomba msamaha muwe kama zamani.
 
Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
hahaah unadhani kila mtu amekua shaped na experiences mbaya kama nyie???, there are still good men outhere, kama jinsi ilivyo kuna still good women outhere,si kweli kuwa wanawake wote na wabinafsi kama mnavyotaka kuaminisha watu kwenye uzi huu.... jifunze sana kwa watu aina ya prumpeti ...... 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 kama unataka kuishi ndoa ya amani na mkeo!!
 
Naona kijana umelainishwa nawe umekubali
mkuu umeendekeza ngono sana ndomana dada powa wamekupora courage ya umwanaume..

sifa ya mwanaume ni kujiamini..mi siwezi kutongoza mwanamke hapa..
 
Polee sana.Hata hujui kupelekeshwa kukoje.Hapo ndo unadhihilisha wewe ni single mother.
 
Polee sana.Hata hujui kupelekeshwa kukoje.Hapo ndo unadhihilisha wewe ni single mother.
wewe ndio nikupe pole, una andika vitu vya kusadikika sana, mbaya zaidi ukielezwa vitu na 'mwanamke' huelewi,...
 
Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima
 
huwezi kuwa sahihi kwenye kila kitu wakati mwingine unahitaji ushauri kutoka kwa mtu wa karibu mke..

mkuu kwani hujiamini?
Na ndo maana ikapointiwa kuwa Mwanaume ni kiongozi.Mwanamke ni msaidizi tu.

Nenda kaoe,utaelewa
 
mselaaaaa kaja kuchukua mzigo mlqngoni hata kukinukisha umeshindwa
 
Sio kwamba ni wanawake wote wako hivyo hapana,wako wachache sana wanaojali.
Hatujakataa kumpa au kumsaidia mwanamke bali kule kujitoa kwetu sisi tumelipwa mabaya.
Wanaume wengi sana wanalalamika kuumizwa kwa namna moja au nyingine na mwanamke ambaye amejitoa kwake kwa moyo mmoja.

Wengi wa wanawake wanapofikia wakati wa kumuumiza mwanaume huwa hana huruma, wala hamuangalii usoni wala hakumbuki hata kumuomba samahani.

Unaweza ukawa wewe hauombi chochote kutoka kwa mwanaume lakini kuna namna umewahi kumuumiza mwanaume na ndio chanzo cha posti na maoni na mada kama hizi
 
Wewe unazungumzia wamama wa zamani wale wapo unique mtoa mada kawalenga hawa wadada wa sasa hivi wa kizazi hiki Cha digital so mzee usiwalinganishe mama zetu walitokana na desturi za mila zetu na hawa wa sasa nikuwavunjia heshima
Nonsense!

hawa wanawake wa sasa wako wired differently????

Au wametoka Mars na sio product ya wamama hao hao wa zamani???
 
Na ndo maana ikapointiwa kuwa Mwanaume ni kiongozi.Mwanamke ni msaidizi tu.

Nenda kaoe,utaelewa
Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...

Wewe hujaoa, usitudanganye humu, bado mdogo sana kuoa.
 
wewe ndio nikupe pole, una andika vitu vya kusadikika sana, mbaya zaidi ukielezwa vitu na 'mwanamke' huelewi,...
Vitu vya kusadikika ni vipi hivyo nilivyo andika?

Nakupa polee sana.Unasoma comment Kwa kukurupukaa sana.Relax
 
Kuwa kiongozi ni kumtomsikiliza mkeo, hihiiiiiii...

Wewe hujaoa, usitudanganye humu, bado mdogo sana kuoa.
Huelewi Mkuu. Hujaona nilipo andika msaidizi.Wapi nimesema asisikilizwe?? Acha kukurupukaa.
 
Baaaasii kaenjoy kuambiwa ni husband material. Na vijiemoji vya kuchekacheka.[emoji16] na kumalizia kuwa hajaoa bado.
i can totally understand you kawaweka au kawaonyesha how a man should behave...mmepatwa na wivu hahahaa... ni kweli he is husband material, otherwise onyesheni sio, halafu tuwaonyesheni ndio...
 
Hapo zamani za kale kwa kutumia ID yangu flani hivi niliandika uzi flani hivi mijanajike miwili ya humu akiwemo huyu Rebeca 83 yakaanza kunisagia kunguni. After about 6 months nkamrudia lile janajike jenzake nkaliweka sawa mpaka likaingia king. Kilichofuata ni historia. Piga sana mbupu maeneo mbalimbali ya jijini. Then nkalifukuzilia mbali. Alikuwa na njaa sana shenzi yule. Muanzisha uzi umeandika jambo kubwa sana Leo.
 
Vitu vya kusadikika ni vipi hivyo nilivyo andika?

Nakupa polee sana.
Umeandika majini...

Umeandika limbwata...

Umeandika shetani...

Umeandika kuhusu Mungu kuwaambia nyinyi kukaa na sisi kimachale......

Hujitambui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…