Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Upo sahihi mkuu hata hapa kazini kwangu. Wapo wawili wanasuguliwa na workmate ilihali wameolewa

Mwingine mume wake Yuko mkoa wa mbali huko kutwa anapiga simu saaingine inawekwa loudspeaker na huyo mwanamke mnamsikia jamaa anavoweka ulinzi wa kwenye simu,

Mwanamke akikata simu tu anafyonza, kiukweli Mimi Huwa nakasirika vibaya mno namuone huruma huyo jamaa anapambana na maisha mbali huko mkewake anapigwa pumbu tu na mfanyakazi mwenzie. Baadhi ya wanawake siyo watu ni mashetani 99%
 
Huko kazini wanapata wapi muda wa kutongozana ovyo? Kazi kweli. Ni kutojielewa tu. Yaani uliwe na workmate? Huyo hata mtaani analiwa hovyo
 
Daaah Hawa viumbe shida sana
 
Am telling you bro. Sisi ndio tupo kaskazini hawa watu wanaliwa/tunawala sio kitoto. Na wengine wanajipendekeza na kujitongozesha wenyewe kwetu. Hawa wasomi uchwara siwezi mshauri ndugu yangu aoe. Ndio maana majority ya hawa wanajiona wasomi ni seniors single mazas
 
Mm nafikiria kivingine hapa. ..changes ndio inawaumiza. ..mfano wkt mnakutana ulikua unampatia vitu fulani once ukianza kupunguza hizo huduma ndio wanaona huwapendi and busy with something else in short changes ndio zinasababisha mahusiano kusambaratika.
 
...Unaweza kumsaidia mwanamke na mwanamke huyohuyo akatumika na mtu mwingine kukuadhibu

hawakumbuki fadhila... labda awe dada yako au mama yako.

Sikupingi; nimewahi kukutana na mkasa wa hivyo.
Simulia kidogo japo kwa codes mkuu tujifunze zaidi.
 
Kiukweli wanawake wameharibu maisha na future ya wanaume wengi waliokuwa juu kiuchumi na kimamlaka na wengine wapo gerezani wengine wapo kaburini kwasababu ya mwanamke sema ni kumuomba mungu maana wateja wengi wa waganga wa kienyeji ni wanawake huko ndo mabaya yote huanzia mtu anatulizwa anakuwa kama zezeta mpaka anakuja kushtuka ameshachelewa.
 
Wa kwanza mie hili bandiko limenikaa kisawa sawa mwendo wa uwabata tu,,wanawke hawana cha kutupa ispokua papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…