Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Gelz are selfish full stop
 
Iletwe jamii forum ya wanawake kila siku wao tu wataweza kweli kuhimili
 
Mkuu una mafanikio makubwa sana, na unaonekana kuyafurahia sana, hongera sana mkuu
🤣🤣🤣
 
Women possess negative power. Wana uhusiano wa karibu sana na shetani. Mara nyingi ili shetani akupate wewe mwanamume hupitia kwa mwanamke. Jambo hili lilianzia pale kwenye bustani ya Edeni na litaendelea hadi pale shetani atakapotupwa kwenye ziwa liwakalo moto na kiberiti. So watch out! May you come to Jesus for your salvation and eternal life kabla ya mlango wa neema kufungwa!



YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
 

nonsense...
 
Umeandika kwa urefu na upana ila ni porojo tupu. Kwanza sijakulia katika maisha ya shida. (Kwasababu umeropoka hapo wacha nielezee maisha ya utotoni wangu) nimelelewa katika hadhi ya kati wazazi wakiwa na uwezo. (Sijigambi nakujibu tuhuma zako potofu)

nimesoma nje ya nchi kwanza ni Zambia then Uganda katika mkoa wa Masaka shule ya Bishop DDungu, Nyansei then secondary nikasoma Snt. Henry Chito Kampala. Vipi inaonekana nimekulia katika maisha duni kama ulivyoainisha hapo juu ?!

Wakati niko chuo Bugema University hapo hapo Kampala nilipata study exchange program nikamalizia miaka miwili ya bachelor Ugiriki.
Sijigambi nakujibu tuhuma zako potofu)

Niliporudi Bongoland nyumbani mzee alikua amekwea cheo nikavutiwa mchongo taasisi ya serikali kama HR baada ya miaka 6 (kuna madili yalitiki vizuri sana) nikapiga chini civil servant employment na kusimamia biashara zangu. Vipi nimeishi maisha duni eeeh ?! Ya kukataliwa eeeh ?! Wakati natumikia u- HR nimetomb.a sana wadada na wamama wanaotafuta michongo na sikuwahi kuwapa hata mia wala kuwapa nafasi yoyote ya ajira. (Qmamae thats me)

Maisha niliyoishi katika ukuaji wangu wewe jumlisha ya family yenu nzima hamfiki hata nusu. So yeah nimekulia kwenye neema na ninashuru Mungu ukubwani neema ikaendelea. Na muhimu kukujuza ni kwamba kuchukia ubinafsi wa wanawake haujatokana na "maisha duni"
 

Mkuu hawa viumbe ni wa ajabu sana, wacha wengine tusiandike tu kuwahusu kikubwa ujumbe wako umefika na umewafikia vizuri kabisa. Wapo wema ila kuja umpate huyo mwema sasa ndio kimbembe.
 
Au kisa umeona id yangu @Theunpaidseller ukajua mimi kapuku kama baba ako aliestaafu hana hata baiskeli ?!

Jf watu wanatumia the almost exact opposite id name na uhalisia wao, kuna member anajitambulisha kwa id ya jina na mnyama mdogoo kabisa ila siku ukimjua yeye halisi utabaki mdomo wazi kwa nusu saa.
 
Pole sana.
 
We ndara ndefu, lete mbunye lako hapa uje unionyeshe hiyo "poor status" na ufukara niliopitia utotoni uliopelekea niwe mchoyo.
 
Experience hii wanayo walimu ukiwafundisha wanafunzi wa kiume vizuri ukajitoa kwao ikiwezekana hata kama wanakosa mahitaji ya pesa ukawapa asilimia zaidi ya 95 watakukumbuka maisha yao yote na wanakuwa rafiki zako wakudumu maisha yao yote.

Lakini ukifanya hivyo kwa wanafinzi wa kike hata ukutane naye hata salamu hawezi kukupa HIYO IKO WAZI KABISA MTOA MAADA YUKO SAHIHI KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…