Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Mkuu ni kweli ukitenda wema kwa kijana wa kiume daima atakumbuka ila wakike aise hatua mbili kasahau. Viumbe wa ajabu sana
 
Doh!Ila kweli Fact Sana ntaiweka hii kwenye Akili yangu Ila Sasa Kama bado ujaoa utapataje mke Sasa ukiamua kuwapotezea?
Kuwapotezea sio kua maadui zako hapana, ukikutana na mwanamke anaefit vigezo atakuheshimu na hata kua na tamaa na mali yako hapo utamualika katika ulimwengu wakotna atakula mema ya nchi na wewe
 
We jamaa bana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 

Hii ipo pia Marekani
 
Huyu sio huyo huyo anaenisumbuaga mm kweli?? Nahsi tunashare mzee
 
Mm jana tu, Kuna manzi, nilichuka namba kitambo, hakueleweka, hata sikuisevu,
Sa'jana kanipigaia asubhi asubuhi tu, Eti ana nisalimia, mara anataka tuzungumze, nikasema OK, ila si haukunipa Kei yako,
Mara sms, nina shida na kuku, mara nyama ng'ombe, mara kodi ya mizi mitatu, mara mwnanae boarding amefukuzwa, mara nimpe mtaji
mara aliye kuwananaye siku hizi hamsaidio kitu, na walisha achna n.k n.k
MPAKA NIKA JIULIZA, HUYU VIPI??
nika onana naye ana kwa ana, AKALIWA, ile napanga kumchoropoka GESTI, ana nidaka, anataka kodi ya miezi mitatu, hela ya kula n.k nk.
Nikamwambia hapa sina kadi, kwenye M-pesa nina elf.13 chukua hii,. ASUBUHI. SANAA, NTAKUPIGIA,
....nime kausha, kapiga miscall na sms zaidi ya.50,. Eti mwenye nyumba kamganda, nk. Nk
SIJAPOKEA SIMU WALA KUJIBU SMS.
 
Umesema kweli achia mbali mama yako na mke wako nikukumbushe tu kuwa kila mtu aliye Bora kwake ni mama yake na mke wake ila Hawa wema kwako walikuwa wabaya kwa "wengine" na hao unaosema ni wabaya ni wazuri "kwingine" waheshimu wanawake, kama unadharau Anza na mama yako mkeo dada yako shangazi wanaokuhusu
 
Experience umeipata kwa mama yako mzazi alivyomtesa baba yako pole Sana nakukumbusha si familia zote ziko hivyo kwani baba alikaa jela miaka mingapi kisa mama yako mzazi
 
Unaona hayo mambo ?! Usiwe na huruma na mwanamke kama anashida muache afe., kama anabakwa muache abakwe wewe wahi kwenye mishe zako, unaenda kumsaidia hachelewi kusema na wewe ulimbaka kisa umevaa poa anaona atavuta mpunga, hawana shkrani.
Hivi wale waliombaka mama yako wangeachwa wamuue we ungekuwepo tuwe tunatafakari kabla ya kuropoka
 
Kwa hiyo mama yako mzazi naye ni shetani 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…