hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Yaani unaweza ukajitoa kwake kuliko ulivyo wahi kujitoa kwaajili ya maisha Yako binafsi Kwa kujifanya unajua MAHABA + kujua ku care ,Kuna mwamba yy hakuna mwanamke anayemwamini zaidi ya mamaake mzazi. Anaishi na mke lakini hamuamini kivile anasema wanawake sio watu wa kuaminika sana anaweza kukupa mshangao wa mwaka dakika yoyote.
Afterall anaweza akakupiga tukio Hilo litakalo kuacha kinywa wazi kama vile hujawahi kufanya kitu chochote kwake