Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Samia ni mzee .N mtazamo tu, mbona samia kamzidi kila kitu mume wake ma bado wako kamili gado
Unajuaje kama wapo kamili gado. Hata hivyo possibly alikuja kumzidi akiwa kwenye nyakati za uzee, angemzidi akiwa 20's au 30's mzee Hafidh angekiona cha mtema kuniN mtazamo tu, mbona samia kamzidi kila kitu mume wake ma bado wako kamili gado
uenda anajuta hata kumuoa sie wa nje ni ngumu kujua,, sometime wanalindiana heshima ila kila mtu na mambo yake wakiwa ndani.. huwez juaSamia ni mzee .
Alimzidi kabla au baada ya kufunga ndoa?
Kwa hiyo akikuzidi baada ya kuwa tayari mmeoana unafanaje? Mfano, amejiendeleza na kupata promotion kubwa, au. Kimradi chake kimekuwa, au kapata deal loote lile unafayaje?Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
shida sio kupata hivyo vitu shida kwa nature ya mwanamke lazima atabadilika tu,, sasa ni wewe na moyo wako ukiona umefika mwisho unajiendea zako ila lazima ujutie kwanzaKwa hiyo akikuzidi baada ya kuwa tayari mmeoana unafanaje? Mfano, amejiendeleza na kupata promotion kubwa, au. Kimradi chake kimekuwa, au kapata deal loote lile unafayaje?
na aliyezidi umri, je?Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
samia ana maadili ya kidini mkuu wanguN mtazamo tu, mbona samia kamzidi kila kitu mume wake ma bado wako kamili gado
N mtazamo tu, mbona samia kamzidi kila kitu mume wake ma bado wako kamili gado
Samia ni wale wanawake wa kizamani alafu amekulia kwenye malezi ya kidini kwahyo ni ngumu sana kujikweza kwa mumewe. Ila hizi type C ni balaa hakuna rangi utaacha kuonasamia ana maadili ya kidini mkuu wangu
Anaongozwa kwa faida ya nchi toa mfano kwa wengine wa mtaaniN mtazamo tu, mbona samia kamzidi kila kitu mume wake ma bado wako kamili gado