The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Hii kitu ni asilimia 10 kwa 90.
Ni wanawake wachache sana tena wale wa kibiblia ndio wanaweza hii kitu.
Lakini wengi kipato kikiongezeka tu jambo la kwanza huwa wanakimbilia kuibomoa familia