Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

Ndoa!!?ni fumbo halina kanuni halisi kabisa!!

1.nimeona mke darasa la Saba mume mtumishi mwenzangu lakini mke hajatulia anahama nyumba miezi mingi Hadi kupata ujauzito kuutoa ukaleta shida na mume halisi akauguza na wapo Hadi leo!
2.nimeona mtumishi kaoa mwanachuo ,akaja PATA Ajira mikononi mwa mumewe mtumishi,wakajenga vizuri na kuzaa watoto!Leo ni makelele na sarakasi!mwanamke anajenga Kwa siri Ili ahame na watoto wote na anajenga na mtu mwingine!!

3.wote watumishi wote wameamua kuwa wahuni tu kila mmoja ana michepuko yake na wanaendelea na ndoa yao ya kisanii!!

Mengi sana nimeona!

Ndoa ni fumbo kubwa sana!!halieleweki!!

Wengine tunataka kuoa Tena baada ya ya kwanza kufeli!!
Duh kwel ndo aina formular.
 
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna


Ni hatari sana kufanya tathmini ya ustawi wa NDOA kwa mwili na vitu vyote vinavyohusiana na mwili hu wa nyama na damu mfano elimu, nafasi, mali, fedha .......


NDOA inayodumu na kumuakisi MUNGU ni ile ambayo msingi wake ni UPENDO na sio mwili (mapenzi) na vitu vyote vinavyohusiana na mwili kwasababu UPENDO upo nje ya vyote hivyo ni rahisi kuvidhibiti na kubiendesha sio vikudhibiti na vikuendeshe
 
Hasty generalization fallacy.

Kafuatilie kisa cha Samuel Etoo na mke wake.

Kipindi Samuel Etoo anajitafuta, mke wake ndio alimsaidia.

Wakati huo Etoo alikuwa apeche alolo.
 
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
Inakuaje akipata kipato kikubwa baada ya kufunga ndoa?
 
Mauti tu ndo itatutenganisha mchuchu.
Mauti huyo hapo
357477517_867387848294248_7363606893915417623_n.jpg
 
Back
Top Bottom