The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kuna mshikaji wangu alioa binti mweup3 ameumbika balaa, mwana ni mwalimu wa primary, dada bahati akapata kazi taasisi fulani ya serikali hapo Morogoro aisee jamaa kuna wakati ni kama alichanganyikiwa vile alikuwa anapelekeshwa na huyo manzi maana manzi ni safar na kila safar kwake ni hela, mbaya zaidi as the days goes Boss akamtamani manzi na safar hadi za aborad zikaanza kuhusika fikiria PS anapigwa training ya siku 14 South Africa.....aiseee mambo yalikuwa sio kbs, sijuagi jamaa aliisgia wapi lkn kwa kifupi ndoa iliyumba kwa sababu manzi alinzidi mwamba rasilimali muhimu!!Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
No Reform Na Election
Umeona eeeeeh, eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha.Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
Ila Mmechelewa Sana Wananchi WameshaelimishwaCCM tushageuza huo msemo
NO ELECTION NO REFORM
ELECTION KWANZA THEN REFORM, so we do election first, Reform itapatikana baada ya Election, hakuna short cut..!! Iko hivi, pigeni kura kwanza, yaani election, mkishinda kwa kura ndio mtafanya Reform, narudia mkiishinda CCM through ballots ndio mfanye Reform
Yani hata hayo makalio pekee anaweza kukupa presha mzee. Hawa viumbe we waangalie kula kwa wakati wako then kaa kimachale usizubae hata akiwa mkeo wa miaka kadhaa.Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
Unamiongelea kuhusu yule bwana shamba kikongwea anayeishi na familia yake ya mke mkubwa??N mtazamo tu, mbona samia kamzidi kila kitu mume wake ma bado wako kamili gado
Kuna kuoa uliyemzidi...baadaye anapata fursa nzuri na kukuzidi...hapo inakuwaje?Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio
Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio.
Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote walishazaa kabla lakini zina furaha amani na mafanikio.
Lakini sijawahi kuona ndoa ambayo mwanamke kumzidi mwanaume elimu, mshahara, pesa, au rasilimali zingine muhimu na hiyo ndoa ikawa na amani ya muda mwingi.
Never, hakuna.
Hakuna
Ni no erection accorsing to Evelyn SaltNo Reform Na Election
πππNi no erection accorsing to Evelyn Salt
Eid MubarakAsante kwa taarifa
Mwanamke anawaza mbloooooo yule hatariπππ