Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

Duh kwel ndo aina formular.
 


Ni hatari sana kufanya tathmini ya ustawi wa NDOA kwa mwili na vitu vyote vinavyohusiana na mwili hu wa nyama na damu mfano elimu, nafasi, mali, fedha .......


NDOA inayodumu na kumuakisi MUNGU ni ile ambayo msingi wake ni UPENDO na sio mwili (mapenzi) na vitu vyote vinavyohusiana na mwili kwasababu UPENDO upo nje ya vyote hivyo ni rahisi kuvidhibiti na kubiendesha sio vikudhibiti na vikuendeshe
 
Hasty generalization fallacy.

Kafuatilie kisa cha Samuel Etoo na mke wake.

Kipindi Samuel Etoo anajitafuta, mke wake ndio alimsaidia.

Wakati huo Etoo alikuwa apeche alolo.
 
Inakuaje akipata kipato kikubwa baada ya kufunga ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…