Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Umewasilisha vizuri πŸ’― πŸ“Œ , ni kweli ndoa inarasimisha tu mahusiano ila haikulindi.
Wanawake wawe na vipato na uwezo wa kiuchumi kabla ya kuzaa.
 
Mwanamke anayestahili hiyo treatment ni mwenye bikra Tu. Zaidi ya hapo mitambo lazima itestiwe
Kwahiyo mwenye bikra inamaanisha pia ana uwezo wa kuzaa na hakuna haja ya kutest? hiyo baiolojia yako umejifunzia wapi mkuu ?
 
Waambie kwanza wajitegemee kiuchumi.
Unataka mwanaume akulipie kodi, akupe pocket money na mahitaji yako yote,
unadhani akija kusema umzalie utaanzia wapi kukataa?
Sasa mkuu si itabidi huyo Mwanamke amjibu huyo Mwanaume kama anataka mtoto si aende kujitambulisha nyumba kwao mwanamke kisha wafunge ndoa.
 
Utakufa - hiyo ni fact na huwezi kuibadili.
Andaa mazingira, ikitokea umetangulia wewe, watoto wako wasiteseke.
β€œUnajua tatizo si kwamba wanaume wanakufa mapema – tatizo ni kwamba jamii imewatwika majukumu mazito, msongo wa mawazo, ukosefu wa emotional support, na bado hamuoni umuhimu wa kuwajali hadi wakishakufa. Badala ya kujadili lini tutakufa, kwa nini tusijadili namna ya kushirikiana kwa upendo, kusaidiana kupunguza pressure, na kujenga maisha yenye usawa? Huo mtazamo wa kungoja mwanaume afe ndio maisha yaanze ni wa kishenzi sana. Kama mwanaume anakufa mapema, siyo sababu ya kusherehekea au kupanga urithi – ni sababu ya kuumiza moyo na kujitafakari kama wanawake mnachangia vipi kuifanya dunia iwe better place kwa wote, si kwa kujiandalia tu maisha ya baada ya kifo chake.”
 
Acha kupangia watu maisha! Ishi maisha yako na wao maisha yao eboooh!
 
Inapendeza sana πŸ™πŸ™Œ
Tunashukuru Mungu kwa tamaduni na dini zinazoelekeza mahusiano, kujali majukumu na malezi bora kwa namna hii.
 
Una uwezo wa kudhani upo na mwanamke wa ndoa Sasa huyu mwanamke bado anakuwa akifikiria wakati mumewe atakapo kufa ku spenda mali za mmewe Hii ni dharau kubwa na fikra mbovu kabisa Badala ya kuishi maisha yenye heshima na kutafuta mafanikio anajishughulisha na mambo ya urithi na kufikiria kifo sijuh mfano akifa ! Hili si tabia ya mtu mwenye moyo wa uzalendo wala heshima bali ni tabia ya ubinafsi na wivu usio na kikomo
 
Very sad, yaani kuna wakati nilishindwa kuendelea machozi yakawa yanatoka nilikuwa natoka Bristol kuja London yaani we acha tu.
It's a very sad movie, hard to watch.
Ila nilichojifunza, tuwe wakarimu kwa wenye shida, lugha zetu ziwe rafiki. Yule bosi wake aisee alikuwa ananikera mno, na yule polisi. Ila U single mama mbaya sana.
Hatujui mtu anapitia nini, tuwe kind kwa wengine.
Usingle mama unatesa, yule mama kaenda jela na mtoto is gone πŸ’”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…