Yani mimi nimkataze mtu mzima mwenye meno yote kinywani asifanye ngono?Sioni sehemu umesema usifanye ngono mpaka akuoe meaning azabuliwe awezavyo. Hapo sawa, vijana wa hovyo wakujengee sanamu.
MotoAone moto wake au "mtoto" wake?
Nilihudumiwa na baba yangu mpaka nilipoolewa, siyo vizinga ila alikua anatimiza majukumu yake kama mzazi.Wakati huo unampiga vizinga babaako au kijana wa watu?
Haaa haaa, wanajisahau na rahaWajitahidi.Maana wengine wakishapigiwa ule wimbo wa "huo mtende umechanuaaa"...!Inakuwa ni kujichanua mpaka yeyeyeee.
za hayo marungu yenu 😂🤣Pumbavu sanaaaaaa, ni ujinga uliopitiliza 🤦♀️Kuna wadada suala la kuzaa wanalichukulia simple simple Sana! Yaani kajamaa tu baada ya kulewa visungura kanamwambia nizalie kama kweli unanipenda nayeye anaingia kingi Pumbavu kabisa😎😎😎😎😎😎
Shukrani.Hii ndio Comment yenye akili kutoka kwa mwanamke, sio zile za ki Feminist zisizo na kichwa wala miguu moja kwa moja zimelenga kumpotosha binti badala ya kumjenga
Sikufikii wewe mwanaume mbabaifu!Wewe ni mpumbavu.
Hatakuelewa, huyo ni feminist, mjuaji mwenye majereha mengi. Na baadoLakini madam, mimi naamini haya mambo inabidi yachukuliwe on a case by case basis; kila kisa kina uchambuzi wake.
Haiwezekani matatizo yote ya wababa kutelekeza watoto yamesababishwa na wababa pekee.
Mkifanya kujumuisha mnakosea.
Nitakupa mimba we leta mambo yako 🤣Sikufikii wewe mwanaume mbabaifu!
Olemaga/ogolemaga bole?Nalemaga!
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 💯Mimi nadhani muhimu kuliko yote ni mwanamke asizae kama kipesa hayupo vizuri. Unaweza subiri mpaka uolewe ndio ni jambo jema lkn kama mwanaume ni wa hovyo na wewe mwanamke bado hujasimama lazima moto ukuwakie. Zaa ukiwa tayari kimwili, kiakili na kipesa.
Haya mchana huu umepata hata kanap jamani.Naomba tusiharibiane safari..
Nmekesha na huo uzi ***** zangu sijalala..
Nilichogundua "miaka 15 ijayo tutakuwa na watoto wengi wasiowajua baba au mama, lakini mauaji ya wanandoa yatazidi"
Chonde chonde serikali isitishe leseni za utoaji wa silaha za moto"
Nakubaliana na wewe, ni ujinga!Vijana wengi wanawatia mimba wanawake warembo kama njia ya kuwa keep around... yaani asiende kwa mwanaume mwingine.. naona ni ujinga..
HahahaYani mimi nimkataze mtu mzima mwenye meno yote kinywani asifanye ngono?
Siwezi kujisumbua kabisa!
Hii siyo lugha ya staha.Ulikua wapi sikuzote? Huu ushauri ungeutoaga kwa mama yake mama Samia Suluhu saivi watu wasingekua wanafirwa na mapolisi. Au nasema uongo ndugu zangu?
Mamie umesema vizuri, nguvu ya kiuchumi ni lazima kwa mama, zaa ukiwa na uwezo wa kuhudumia mtoto wako pale ambapo mwenza wako hatakuwepo kwa sababu yoyote ile.Ukitaka kuzaa Anza kujipanga kiuchumi hata kama huyo mwanaume atageuza shingo yake wewe utakua umesimama vizur
Tatizo wanawake akili zetu ni za kuambiwa Kuna kale kausemi et nikimzalia atanioa au nikimzalia atakua ananipa hela aloooh zaa huyo mtoto utalia kilio zaid ya huyo mtoto