Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Kwanza pale mama yake anamwambia kuwa mwanae alifariki alafu anarudisha kumbukumbu nyuma kuwa mwanae kweli hakuwepo kwanzia tukio A_Z
Hayo mambo ni yapo live an watu wanapitia magumu mpaka anakua kachanganyikiwa...

Nakumbuka hata mimi niliwahi pitia moment ngumu sana kipindi hiko aiseee nikikumbuka huwa natamani kulia

Sema kwa kuwa mwanaume nakaza et

Ile muvi inaelezea shida wanazopitia single maza
 
Mwanamke bila mtoto unakuwa kituko sana ukubwani, Usiogope kuzaaa wewe zaaa achana na mgumba anaekushauri usizae
 
We si unawapondeaga single maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…