RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kuna wengine tuliwapa ujauzito !tukabeba na kuishi NAO na kuhakikisha watoto wana kwao!lakini Bado tulipigwa tukio hadi tukaamua tuoe tena japo wa mwanzo hatumuachi !tunamwachia mungu TU awe name coz ni wa kwake alimuumba yeye!!Hawa wanaume wa siku hizi ni .......................................................... (wape jina unalofikiri na linawafaa).
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
- Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
- Kama hajaja kwenu kukuchumbia, hajakuoa usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amefariki, amekutelekeza au mmeachana.
- Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba mimba. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).
- Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)
Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.
Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.
Ni hayo tu, siku njema kwenu!
********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_
Tafsiri yangu kuhusu "MASLAHI YENU" ni kujinasisha mimba halafu uweke madai kwa mwanaume hadi ajute na aione dunia imevaa mlegezo.furaha zetu,mahakamani hunikuti ng'ooooooo
Mwanangu unatembea mpaka na wake za waganga.Sichoki hata kidogo...
Sasa nachokaje watu wanataka wenyewe kwa mfano...
We imagine mtu anasema atafanya juu chini afanye mambo yake chap chap ili akuje.. alafu so huyu tu wapo kibao..
Kuna huyu mmoja mumewe ni mganga ila mi sijari wala nn maana kila siku anasema nimfunge shanga..
Mi ntakataa sasa et...
Ajaribu kunifukuza aone moto wake!Utafukuzwa manispaa ukaishi halmashauri ya mji mdogo Malampaka kwa kujibizana na mstahiki meya.
Hii mijadala hata tukiweka camp ya mwez mzima, bdo inafkrisha na lawama n nying kama zote, kwasbabu ya malezi tunayokulia ndo maana maisha yanakuwa hv,Kuna wengine tuliwapa ujauzito !tukabeba na kuishi NAO na kuhakikisha watoto wana kwao!lakini Bado tulipigwa tukio hadi tukaamua tuoe tena japo wa mwanzo hatumuachi !tunamwachia mungu TU awe name coz ni wa kwake alimuumba yeye!!
Usifanye generalization kabisa!!
Tupo tuliofunga safari ndeeefu yenye milima na mabonde plus Kona nyingi Hadi hofu kwamba Bus linaweza kuanguka!tukifuata mtoto na Mama yake!baadae tuliambulia majibu kama haya:-
1.Unafikiri Kuna kitu Gani Cha maaana ninachobembeleza kwako!
2.najua no akaunti yangubndio inakupa shida coz uliishika sana (Hakuja na akaunti yenye Hela kazi aliipata akiwa na Mimi)
3.ukipataga mwanamke nendaga tu uniache na wanangu hapa (baada ya kuona tumejenga nyumba ya kuishi)
4.Hivi ukisikia natoka na MTU Fulani hivi utafanya nini kwamfano!!?kumbe tayari ana mtu na wanaaljenga pamoja Kwa siri!!
5.kuwa na mahusiano na..........(kazi yangu) ni shida hawana hela kabisa!wakatinndio KAZI iliyomlisha kabla hajapata kazi wakati nimemleta!!
6."hahudumii familia anahonga tu!Kodi zote mnioe Mimi"!!! Wakati kiwanja nilinunua na kujenga tulishirikiana kiasi fulani ndio kimekua pa kwake na aibu kibao nazoa Kwa wapangaji ambao ni Mimi ndio niliwapokea kitambo!!
Mnapokua mnaandika nyuzi hizi muwe mnafikiria na upande was pili na ujiulize swali "kama ungempata Punda mwaminifu was kubeba hatma ya maisha Yako na watoto wako ungemheshimu baada ya kukufikisha mwisho wa safari yako au mafanikio!!!?Hicho ndicho kitendawili ambacho wanawake wengi wameshindwa kukitegua nacho ni "KUSHINDWA KUYAISHI MAFANIKIO BAADA YA KUYAPATA!!!!!UBINAFSI HUINGIA!!
story ya mshikaji hapa namsikiliza!
Aone moto wake au "mtoto" wake?Ajaribu kunifukuza aone moto wake!
Teh teh, nakumbuka kuna sku nlijibiwa hv kwamba nlijinasisha, mimba, huwa nabaki nacheka tu maana, uspozaa mara hutaki kunizalia, ukizaa unajinasisha mimba, wajamen tulee tuTafsiri yangu kuhusu "MASLAHI YENU" ni kujinasisha mimba halafu uweke madai kwa mwanaume hadi ajute na aione dunia imevaa mlegezo.
💯Mimi nafikiri wanawake tuzae watoto tukiwa na utayari, kuanzia huduma mpaka malezi..!!
Tusizae ili kumfurahisha mwanaume au kumfanya akuoe..!!
Hii kujipa mategemeo kwa mwanaume ambaye hujui kesho atakuwaje ni kujitafutia matatizo ambayo yatapelekea kushinda ustawi wa jamii..!!
Umeshindwa tumia kinga ili kuzuia kutesa watu ambao hawakuwaomba muwazae..!!
Wewe kwa asilimia kubwa huna akili pia!Mimi sio mwanamke. Ila wanawake asilimia kubwa hawanaga akili.
Jamii bila kujua matokeo imeamua kuibeba jinsi moja kwa hila katika nyanja zote hadi kimahusiano ya kimapenzi.Matokeo yake,upande mmoja umekuwa kiburi na mwingine umejaa usanii na tahadhari kubwa hadi kwenye kumeza mate.Hii vita ya kijinsia inavyoenezwa ni kama kuna mfumo unaandaliwa, au maisha mapya yanaandaliwa. Sioni hata ni kwanini kuna hiyo vita. Ukishajua kwanini ulizaliwa uwe mwanamke au mwanaume, hutashabikia hii vita inavyopiganwa mitandaoni.
Ndio nakwendaHaya kanunue kijana
Sioni sehemu umesema usifanye ngono mpaka akuoe meaning azabuliwe awezavyo. Hapo sawa, vijana wa hovyo wakujengee sanamu.Hawa wanaume wa siku hizi ni .......................................................... (wape jina unalofikiri na linawafaa).
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
- Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
- Kama hajaja kwenu kukuchumbia, hajakuoa usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amefariki, amekutelekeza au mmeachana.
- Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba mimba. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).
- Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)
Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.
Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.
Ni hayo tu, siku njema kwenu!
********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_
Dkt. Gwajima akupe tu kitengo.Mimi nafikiri wanawake tuzae watoto tukiwa na utayari, kuanzia huduma mpaka malezi..!!
Tusizae ili kumfurahisha mwanaume au kumfanya akuoe..!!
Hii kujipa mategemeo kwa mwanaume ambaye hujui kesho atakuwaje ni kujitafutia matatizo ambayo yatapelekea kushinda ustawi wa jamii..!!
Umeshindwa tumia kinga ili kuzuia kutesa watu ambao hawakuwaomba muwazae..!!
Inasikitisha sana, wengine ni kutosikia au kutokujua ndiyo maana tunawashauri hapa wasijichanganye.Kila mtaa ma single mother yamejaa, kila binti na begi lake hawaoni hata aibu! Unakuta mabinti mama ntilie kibanda kimoja wako hata sita kila mmoja na mtoto anahangaika nae wachafu kweli. Hakuna hata mwenye mwanaume wa kumsaidia hela ya matunzo, wamebaki kutembea na wazee wapate chochote!
Mabinti sijui akili wamepeleka wapi.
Kuna wanawake wanafikiri walikuja duniani kutuzwa na wanaume. Unakuta mwanamke anafanya kazi hela yake yote inaishia kujipamba na kusaidia ndungu zakeWaambie kwanza wajitegemee kiuchumi.
Unataka mwanaume akulipie kodi, akupe pocket money na mahitaji yako yote,
unadhani akija kusema umzalie utaanzia wapi kukataa?
Wajitahidi.Maana wengine wakishapigiwa ule wimbo wa "huo mtende umechanuaaa"...!Inakuwa ni kujichanua mpaka yeyeyeee.Inasikitisha sana, wengine ni kutosikia au kutokujua ndiyo maana tunawashauri hapa wasijichanganye.
Bila kunichokoza siku yako haijaisha vizuri? 😹Dkt. Gwajima akupe tu kitengo.
Suti si unazo tayari...