Halafu afanye mwenyeweNadhani ungetuwekea mfano wa video ili tuelewe vizuri
Hela kwanza ndio muhimu hizo nyingine ni mbwembwe tuKuhusu nguvu za kiume tunaogopeshana tuu ila mambo hayapo hvy mnavyotuaminisha
Mmejitenga sana na mazoezi halafu lishe duni na lishe yenyewe mkiipata asilimia kubwa siyo visaidizi vya mwili.Sehemu tulipofikia kama vijana hatari sana
Umejuaje nna hy app?Hasa kwa wewe unaetumia App ya Yoti hilo zoezi ni muhimu sana kwako utakuja kunishukuru
Umejuaje una tatizo la kumwaga hraka/nguvu za kiume?Nimejaribu kufanya hapa hadi mkojo kuja uishe nimetoa hadi machozi
Aisee! Vita bado ni mbichi
Umejuaje nna tatizo la kumwaga haraka?Fanya hivyo acha ubishi bila hivyo utakuja shughulikiwa wewe na mkeo huko mbeleni shauri yako
Sema unahara ukichuchumaa wakat wakukojoa lazima ujifufungueKuchuchumaa wakati wa kukojoa kunaweza kusaidia:
Kukaza zaidi misuli ya nyonga.
Kukuza hisia ya kudhibiti mkondo wa mkojo.
Kuboresha mzunguko wa damu eneo hilo.