Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kijanaHabarini wanajf wenzangu I hope mko gud that's fine...
Oh yeah!!!
fanyeni mazoezi wanaume wenzangu bana acheni kula chips, kunywa bia sana zinawafanya mnakuwa mabonge minyama uzembe dah it's so sad [emoji24] mwanaume unakua na buttock (mat**ko) makubwa kumzidi mke shem on you kitambi kikubwa dah!!
Fanyeni mazoezi muwe na body ya kueleweka ndio maana ata mnashindwa kuwaridhisha wake zenu kwa kukosa pumzi (pull) kidogo ya kuendesha mashine yako mwisho wa siku tunawachapia kwa sababu ya uzembe wenu wa kutokufanya mazoezi na diet mbovu inayowapelekea kuwa na body kubwa.
Lasivyo tutawachapia sana wake zenu mpaka mtakapo badilika.
Naomba kuwasilisha asantee.
Naona wameamua kunianzishia na uzi kabisa 😂😂😂 ila sipo peke yangu am 4 real pia anakulaMwachiluwi unaitwa huku
Tatizo lako hujaelewa threadMnaofanya mazoez na kutengeneza body sikuhiz ndio mashoga mnapumuliwa kilasiku huko gym...
Wanaume msidanganyike, chips mayai sausage kuku broiler hawana effect yeyote ktk nguvu za kiume...
Nguvu za kiume ni saikolojia yako tu, ukijiambia unaweza basi utaweza, ukijitia hofu huwez kweli hutaweza...
Sawa mke wangu mtam unayefanya mazoez gym kuvutia wanaume tukufirembeTatizo lako hujaelewa thread
Nani kasema mazoezi yanafanyaka gym pekee yake maana ata jogging,pushup ni mazoezi ya kawaida na mtu sio lazima kwenda gym
Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na maarifa kidogo,kitambi kikubwa+ big boot
[emoji38]View attachment 2626749siku hizi ni mwendo wa kisinia
Endelea kupumuliwaFanya mazoezi upunguze ilo kalio mzee acha porojo
Tena kubwaaaaKaz ipo
Anyway,Habarini wanajf wenzangu I hope mko gud that's fine...
Oh yeah!!!
fanyeni mazoezi wanaume wenzangu bana acheni kula chips, kunywa bia sana zinawafanya mnakuwa mabonge minyama uzembe dah it's so sad [emoji24] mwanaume unakua na buttock (mat**ko) makubwa kumzidi mke shem on you kitambi kikubwa dah!!
Fanyeni mazoezi muwe na body ya kueleweka ndio maana ata mnashindwa kuwaridhisha wake zenu kwa kukosa pumzi (pull) kidogo ya kuendesha mashine yako mwisho wa siku tunawachapia kwa sababu ya uzembe wenu wa kutokufanya mazoezi na diet mbovu inayowapelekea kuwa na body kubwa.
Lasivyo tutawachapia sana wake zenu mpaka mtakapo badilika.
Naomba kuwasilisha asantee.
Ndio inavyotakiwa mkuu mbona politelyUmetumia lugha kali kidogo mkuu!!.[emoji28]Anyway,
i believe wahusika wamekusikia
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Ukiacha afya wewe na wenzioMazoezi pia ni muhimu kwa afya yako